Asante Mkuu.
Kwa sasa bado najaribu kuona itagharimu sh ngapi na vitu gani vitahitajika, hivyo kama unao uzoefu ni vema ukaniwekea hapa. Je nitahitaji kuwa na nini na nini na kwa gharama kiasi gani ili niweze kuzalisha japo chupa ya lita moja kwa mfano.