Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota eneo husika)
Naomba wenyeji na wazoefu wa issues hio mniambie mchanganuo wake unakaaje/at least niwe na shilingi ngapi ili nianzishe.