Befitting send offKwamba msiba uonekane harusi
Dah Kweli?
Basi sawaBefitting send off
Majeneza Nani atauza tukiahamia wote kuchangia wagonjwa?Tuanzishe biashara ya kumsaidia mgonjwa kifedha na kimatibabu; hapo tutakuwa tumetumia utu zaidi
Mwisho wa siku kufa kupo pale paleTuanzishe biashara ya kumsaidia mgonjwa kifedha na kimatibabu; hapo tutakuwa tumetumia utu zaidi
Sitaki ufe FSMsiba kama harusi, kwahiyo mkuu mfano unamuomba Mungu biashara yako iwe nzuri, unamuomba upate wateja wengi? If yes unakua unamaanisha.... kila lakheri maana imeandikwa mavumbini tutarudi.
Mkuu imeandikwa kila nafsi itaonja mauti, tumwombe Mungu atujalie maisha marefu. Inaogopesha ila ndiyo hivo sasa.Sitaki ufe FS
Ndio utuwekee picha za kudanlodi?Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar.
Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao).
1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya marehemu, manukato),
2. Decoration + signing book,
3. Usafiri (hearse na bus ya waombolezaji),
4. Sare (miwani tinted+waombolezaji),
5. Music System (DJ),
7. Stationeries (wasifu wa marehemu, nyimbo za maombolezo),
8. Chakula - buffet (Plate = 6,000/=),
9. Vinywaji (juice, soda, bia-imported na local),
10. Venue ( tents, viti na meza),
11. MC
**Tutafungua pia matawi Dodoma, Mwanza Moshi na Arusha, stay tuned!
Karibuni wote.
View attachment 2696206
Kwa hiyo tukimchangia ndo hatakufa?Tuanzishe biashara ya kumsaidia mgonjwa kifedha na kimatibabu; hapo tutakuwa tumetumia utu zaidi