Biashara ya Mahindi Zambia.

Biashara ya Mahindi Zambia.

Edward Chapa

Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
72
Reaction score
12
Habari ndugu!
Kuna jamaa yangu nafanya kazi naye za marketing research anaishi Zambia na ana kampuni yake ya biashara amepata zabuni ya kuingiza mazao ya mahindi nchini kwao Zambia, amewasiliana nami anataka tufanye hiyo biashara kama itawezekana au kama kuna mfanyabiashara anayeza ashirikiane naye Mimi mtu wa kati! Na attach nilivyokuwa nawasiliana naye.

Hi Edward,
On a different business, would you know anyone in East Africa wishing to import maize from Zambia? Ok. We have an allocation of 5000 MT.
Am saying the government of Zambia has permitted us to export 5000 metric tonnes or 16630 tones truck and trailers.This is big business and importers know this.

It is US$ 275 per tonne +US$ 40 paper work and commissions. You and I do nit have to invest anything.Just ask around...many Kenyas and Tanzanians and importing from Zambia.
 
Ameruhusiwa kusafirisha nje tani zilizotajwa. Anatafuta soko la mahindi. Hujamuelewa huyo rafiki yako. Someni kingereza bana.
 
Ila habari ya kuswahili na English zinatofautiana .Jipange vizuri...huyo jamaa anauza mahindi toka Zambia. Wewe unasema ana tenda ta kuingiza mahindi Zambia.Kipi ni kipi ...
 
Habari ndugu! Kuna jamaa yangu nafanya kazi naye za marketing research anaishi Zambia na ana kampuni yake ya biashara amepata zabuni ya kuingiza mazao ya mahindi nchini kwao Zambia, amewasiliana nami anataka tufanye hiyo biashara kama itawezekana au kama kuna mfanyabiashara anayeza ashirikiane naye Mimi mtu wa kati! Na attach nilivyokuwa nawasiliana naye.

Hi Edward,
On a different business, would you know anyone in East Africa wishing to import maize from Zambia?

Ok. We have an allocation of 5000 MT.

Am saying the government of Zambia has permitted us to export 5000 metric tonnes or 16630 tones truck and trailers

This is big business and importers know this.

It is US$ 275 per tonne +US$ 40 paper work and commissions. You and I do nit have to invest anything

Just ask around...many Kenyas and Tanzanians and importing from Zambia.

Kipi ni kipi. ..?
 
hiyo biashara ni ngumu kwa Tanzania cse juzi like two weeks ago kilimo walitangaza na kutoa zabuni ya kupeleka tani zaidi ya 50 elf kenya...kwaiyo akitaka kuleta tz ni ngumu sana na awezi kupata soko kabisa labda apaleke kenya na Sudan Kusini (kwake itakuwa ghali sana sana- Transportation Cost).

-Mahindi kwa sasa ni 400 Tsh kwa kilo, ila mikoa kama Songea na nyanda za juu ni around 200-300
-Kenya mahindi kwa sasa i mean kwenye ghala lao ni Ksh 30 ambayo ni 540 Tsh.........From that nafkiri unaweza kuka nae then mfanye cost analysis.

Nb: Kama atakuwa tayari kwa hiyo bei ya kenya na tukaweza kupata faida plz PM me haraka sana
 
Dear my zambian friend
Thank for your letter dated blah blah blah. I am delighted to learn that you would like to export maize to TZ. Maize is staple food for both Zambians and Tanzanians,ordinarily it should be in high demand. However we have had a bumper harvest this season hence we are experiencing a market glut. The market price has dramatically dropped. Farmers are wondering how they would recoup the production cost. Given the scenario, market condition are simply not favourable for good business. I will inform you of any further development

Yours Sincerely
Edward Chapa
 
hiyo biashara ni ngumu kwa Tanzania cse juzi like two weeks ago kilimo walitangaza na kutoa zabuni ya kupeleka tani zaidi ya 50 elf kenya...kwaiyo akitaka kuleta tz ni ngumu sana na awezi kupata soko kabisa labda apaleke kenya na Sudan Kusini (kwake itakuwa ghali sana sana- Transportation Cost).

-Mahindi kwa sasa ni 400 Tsh kwa kilo, ila mikoa kama Songea na nyanda za juu ni around 200-300
-Kenya mahindi kwa sasa i mean kwenye ghala lao ni Ksh 30 ambayo ni 540 Tsh.........From that nafkiri unaweza kuka nae then mfanye cost analysis.

Nb: Kama atakuwa tayari kwa hiyo bei ya kenya na tukaweza kupata faida plz PM me haraka sana

kwa bei iliyopo kwa sasa sisi wakulima ndo tunaumia...sijui niyaweka stoo mpaka mwezi wa 12.
 
Ndugu yangu nakushauri mwambie hayo mahindi atunze kwanza, muda huu hakuna cha soko wala nini, mimi muda huu niko Kenya Mombasa, kuna gari zaidi ya 300 zina wiki 3 sasa mzigo bado kupakuliwa, wakenya kwa sasa wanalinga sana, nimebahatika kuongea na baadhi ya wafanya biashara wa maindi tz uko Mombasa hawana hamu kabisa. jambo linguine nakushauri ukaende English course kidogo bwana mbona unapa aibu? huyo mzambia kama anajua Kiswahili akisoma ulivyo tafisili atajua kweli Tanzania............!!! utajaza mwenyewe.
 
Bei ya 275+40= 315 per tonne... ni bei kubwa sana.. huto pata faida ukiongeza gharama za usafiri...
 
Back
Top Bottom