Biashara ya mahindi Sumbawanga!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Wakuu habari zenu!!
Nimepata habari kwamba kuna biashara ya mahindi huko Sumbawanga, mahindi yananunuliwa vijijini na wanawauzia wakongo!!

Kilichonifanya nilete hii thread ni kutaka kujua hali ya bei kwa sasa kwa maana ya bei ya kununua na kuuza, pia nataka kujua changamoto zake.
 
hahahaha....yaani hakuna jibu hata moja. Watu wengi wanashinda kwenye jukwaa la siasa na MMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…