Nataka kuwa wakala wa biashara ya magari mtandaoni, naomba ushauri

autonomius

Member
Jun 24, 2016
12
10
Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwenye yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake

....then nikpata mteja nampeleka wakipatana nakatiwa percent kidogo...maana ajira ngumu...naomba ushauri kwa wenye uzoefu na biashara ya mtandaon......AHSANTEN
 
Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwene yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake
....then nkpata mteja nampereka wakipatana nakatiwa percent kdogo...maana ajira ngumu...naomba ushauri kwa wene uzoefu na biashara ya mtandaon......AHSANTEN
mkuu wazo zuri njoo inbox tubadilishane mawazo
 
Back
Top Bottom