Kuwa mbunifu, usichukulie kila mtu anayesima hapa anajua faida zake... m imi nakushauri uelezee faida zake ili uweze kupata soko la wale ambao bado hawajui faida za mafuta ya ubuyu. Usipoeleza faida zake hapa jukwaani utakuwa umejizibia riziki na utabaki na wateja wanaozijua kwa sasa tu!
Ni mtizamo ns ushauri tu... ukipenda waweza kuufuata, usipopenda upotezee