Ukijitoa ukahudumia duara kadhaa uwezekano wa duara moja kurudisha gharama ni mkubwa.Kuhudumia unaweza hudumia then ikala kwako...! mie nanunua dhahabu za mwalo wa kwangu..means mteja anakuja anasaga kwangu akichenjua nanunua mm dhahabu..ss kuna faulo za kufa mtu...anakuja kota mwingine anamuuliza huuu unamiuzia sh ngap?anamwambia 72000/=anamwabia mie nanunua 74[emoji23][emoji23]...!hao wanaonunua 74 wamechezea sana mizan zao..wajuvi wanakataa...!
jan..Umeanza kwa muda gani kufanya hii shughuli
Hela za mawazo kama izi zangu ina hitaji u smart kweli; hahaha ila Mimi broker wangu si tiyari upo uko.
Ukijitoa ukahudumia duara kadhaa uwezekano wa duara moja kurudisha gharama ni mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kila kitu ni uzoefu asee..nilishawah jaribu kuiprocess mifuko yangu mwenyewe kilichotokea sikurudia tena[emoji23][emoji23] hua naishia kuiuza mifuko tu basi.
Kwa mtaji wa 3m biashara anayoweza kufanya ni kununua dhahabu ndogondogo kutoka kwa wachimbaji.Siku hizi kuna masoko ya dhahabu Why can't he go there. AU yeye business plan yake ikoje
Mkuu kuhudumia duara, unahudumia vitu vipi na vipi kwa wachimbaji? Chakula amaUkijitoa ukahudumia duara kadhaa uwezekano wa duara moja kurudisha gharama ni mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kila kitu ni uzoefu asee..nilishawah jaribu kuiprocess mifuko yangu mwenyewe kilichotokea sikurudia tena[emoji23][emoji23] hua naishia kuiuza mifuko tu basi.
Ningeongezea 3 apo dala dala langu ambalo limekwama garage lingetoka. Na kuanza route as previous.😅😅 ww tutashikana mikono...sema huki roho ngumu inakupasa..nilipoteza 2m july hii niliugua😁😁..am ok nw
Jifunze pia kuichezea ile scale, halafu ununue nitric acid ukiuziwa mbichi unaimwagia kwanza kama ni feki ina Sambaa, hakikisha unayafahamu majiko ya siri siri ya kuchoma dhahabu na uzifahamu pia identified illusion,
Maeneo yenye dhahabu Tanzania ni mikoa ya Mwanza, shinyanga hasa kahama huko utazikuta mwime na nyangarata, utaenda ukanda wa masumbwe hadi unafika runzewe kote kuna machimbo, ukitoka hapo utaigusa Tabora maeneo ya Nzega, uende hadi kitunda kupitia sikonge halafu uje utoboe Chunya mkoa wa Songwe zamani Mbeya
.Ningeongezea 3 apo dala dala langu ambalo limekwama garage lingetoka. Na kuanza route as previous.
Hope sasa upo zaidi ya makini Dada ake.
- Chakula, majiMkuu kuhudumia duara, unahudumia vitu vipi na vipi kwa wachimbaji? Chakula ama