Biashara ya madela kutoka Dar kwenda mkoani

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,621
6,081
Mambo vipi wakuu, Leo nimekuja na hii, si mnajua tena vijana wa kisasa kazi kazi ila sina kazi. Nimegundua bei ya madela kwa Dar bei ni elfu nane nane kila moja!

Sasa basi naomba nini mjue kutoka kwenu mnifahamishe kuhusu ubora. Bei za jumla za mzigo na wazoefu wa biashara hii huko mikoani ama jijini Dar.

Natanguliza shukrani. Mola na atutangulie. Amyna
 
Bei hiyo ni kwa kijora chenye mtandio wake au kijora peke yake?
 
Back
Top Bottom