Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,635 Reaction score 1,615 Oct 24, 2025 #1 Habari mimi ni mfanyabiashara wa machungwa toka Muheza-Tanga nataka kuleta machungwa Bukoba naomba kuunganishwa na madalali wa huko
Habari mimi ni mfanyabiashara wa machungwa toka Muheza-Tanga nataka kuleta machungwa Bukoba naomba kuunganishwa na madalali wa huko
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,089 Reaction score 104,544 Oct 24, 2025 #2 Ww yalete tuu, madalali utawakuta huko huko field
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,003 Reaction score 3,883 Oct 24, 2025 #3 Kwa bei ya sasa hivi ya chungwa shambani huko bukoba si watauziwa 500 sasa chungwa moja
Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,635 Reaction score 1,615 Oct 25, 2025 Thread starter #4 MLUGURU said: Kwa bei ya sasa hivi ya chungwa shambani huko bukoba si watauziwa 500 sasa chungwa moja Click to expand... Kwa huku Muheza chungwa ni 90 shambani ndio maana nilitaka kujua bei ya sokoni
MLUGURU said: Kwa bei ya sasa hivi ya chungwa shambani huko bukoba si watauziwa 500 sasa chungwa moja Click to expand... Kwa huku Muheza chungwa ni 90 shambani ndio maana nilitaka kujua bei ya sokoni
B Burrell JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 542 Reaction score 1,026 Oct 25, 2025 #5 Machungwa msimu wake huwa ni upi?
Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,635 Reaction score 1,615 Oct 25, 2025 Thread starter #6 Burrell said: Machungwa msimu wake huwa ni upi? Click to expand... Misimu ni miwili kuanzia mwezi wa tatu mpaka wa sita aina nyingi za machungwa hulimwa msimu huu,msimu wa pili ni mwezi wa saba mpaka wa 11 na 12 mwanzoni aina ya chungwa ni valencia ambayo hupatikana zaidi Muheza
Burrell said: Machungwa msimu wake huwa ni upi? Click to expand... Misimu ni miwili kuanzia mwezi wa tatu mpaka wa sita aina nyingi za machungwa hulimwa msimu huu,msimu wa pili ni mwezi wa saba mpaka wa 11 na 12 mwanzoni aina ya chungwa ni valencia ambayo hupatikana zaidi Muheza
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,003 Reaction score 3,883 Oct 25, 2025 #7 Ravalomanana said: Kwa huku Muheza chungwa ni 90 shambani ndio maana nilitaka kujua bei ya sokoni Click to expand... Wapi huko ni 90 mkuu wakati nimeuliza jana nimeambiwa ni 110,au wewe unasokoza??
Ravalomanana said: Kwa huku Muheza chungwa ni 90 shambani ndio maana nilitaka kujua bei ya sokoni Click to expand... Wapi huko ni 90 mkuu wakati nimeuliza jana nimeambiwa ni 110,au wewe unasokoza??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,355 Oct 26, 2025 #8 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
Ravalomanana JF-Expert Member Joined Sep 8, 2018 Posts 1,635 Reaction score 1,615 Oct 28, 2025 Thread starter #9 MLUGURU said: Wapi huko ni 90 mkuu wakati nimeuliza jana nimeambiwa ni 110,au wewe unasokoza?? Click to expand... Duh basi imepanda tena siku za karibuni
MLUGURU said: Wapi huko ni 90 mkuu wakati nimeuliza jana nimeambiwa ni 110,au wewe unasokoza?? Click to expand... Duh basi imepanda tena siku za karibuni
Pepe Madochi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 341 Reaction score 364 Nov 13, 2025 #10 MLUGURU said: Kwa bei ya sasa hivi ya chungwa shambani huko bukoba si watauziwa 500 sasa chungwa moja Click to expand... Daaaa kwa hali hii kutoka 80 mpk 500 alooo soko litakua limepaaa 😀
MLUGURU said: Kwa bei ya sasa hivi ya chungwa shambani huko bukoba si watauziwa 500 sasa chungwa moja Click to expand... Daaaa kwa hali hii kutoka 80 mpk 500 alooo soko litakua limepaaa 😀
Pepe Madochi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 341 Reaction score 364 Nov 13, 2025 #11 MLUGURU said: Wapi huko ni 90 mkuu wakati nimeuliza jana nimeambiwa ni 110,au wewe unasokoza?? Click to expand... 120 mpaka 130 saivi
MLUGURU said: Wapi huko ni 90 mkuu wakati nimeuliza jana nimeambiwa ni 110,au wewe unasokoza?? Click to expand... 120 mpaka 130 saivi
JOHNGERVAS JF-Expert Member Joined Mar 22, 2016 Posts 1,450 Reaction score 2,498 Nov 15, 2025 #12 mcheki DALALI MKUU