Biashara ya lubricant za magari,pikipiki.

  • Thread starter beyond ur limit
  • Start date

B

beyond ur limit

Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
16
Likes
0
Points
3
B

beyond ur limit

Member
Joined Apr 9, 2013
16 0 3
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?
 
J

jarife

Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
6
Likes
1
Points
0
J

jarife

Member
Joined Nov 21, 2013
6 1 0
Mimi ni wakala wa OIL NA GREASE inayotengenezwa na kampuni ya kichina inayoitwa SINOPEC
kutokana na utafiti uliofanywa unaonesha wazi ya kwamba china ndio imeshika soko kubwa sana la mashine na vipuri vya namna mbalimbali , inasadikika ya kwamba asilimia 95% ya mashine ,vipuri na vifaa vya nyumbani vinatengenezwa china kupitia makampuni makubwa ya kimagharibi yaliyowekezwa china, hivyokufanya china kuwa soko na sehemu ya viwanda vikubwa, hivyo basi pia wanatengeneza OIL NA GRease za aina mbali mbali katika kutimiza mahitaji ya viwanja sambamba na mashine au vipuri.
kwa sasa kampuni ya SINOPEC ipo nchi zaidi ya 60 katika dunia, hii ni kutoka na na ubora wa bidhaa, ikishindana na FUTCH kutoka ujerumani ambayo imeteremka kutoka nafasi ya 4 katika soko mpaka ya 8 na SINOPEC inashika nafasi ya 4 katika soko la dunia katika vilainishi(lubricants) kwa Tanzania, ni kampuni ya KASELEKO AND COMPANY ndio inasambaza bidhaa hiyo ikishirikiana na SHIN UP LTD ambao ndio waagizaji wa bidhaa hiyo. kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu:
0767 826868/ email:peter7tz@yahoo.com , search kwenye google kwa kuandika sinopec.
 
okwili

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Messages
209
Likes
16
Points
35
okwili

okwili

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2013
209 16 35
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?

Mkuu mimi na deal na Valvoline oil branded in Netherlands
contact me at sales@fleetcare.co.tz

visit: Car Engine Oil,Motorcycle Engine Oil,Synthetic Oil - Valvoline
 
J

jarife

Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
6
Likes
1
Points
0
J

jarife

Member
Joined Nov 21, 2013
6 1 0
habari,mimi nadeal na sinopec oil na grease,tuwasiliane 0767826868
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
246
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 246 0
haya sasa kazi kwako beyond ur limit wasambazaji haooo, onesha ofisi, chota mali piga kazi!
 
Last edited by a moderator:
MIAMIA.

MIAMIA.

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
216
Likes
1
Points
35
MIAMIA.

MIAMIA.

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
216 1 35
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?
Mimi msimamizi wa afisa mauzo kampuni ya Bajaj Auto T Ltd.wenye brand hizi Bajaj RE 205 Miguu mitatu io,Pikipiki za miguu miwili ni Boxer BM 150,Boxer BM 100,Pulsar,Discover,Baja,Platina n.k niPM nikupe namba kama upo serious for business will speak biashara kwa jumla...n.k
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,420
Likes
246
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,420 246 0
Mimi msimamizi wa afisa mauzo kampuni ya Bajaj Auto T Ltd.wenye brand hizi Bajaj RE 205 Miguu mitatu io,Pikipiki za miguu miwili ni Boxer BM 150,Boxer BM 100,Pulsar,Discover,Baja,Platina n.k niPM nikupe namba kama upo serious for business will speak biashara kwa jumla...n.k
Mkuu "MSIMAMIZI WA AFISA MAUZO" na nyie mnauza vilainishi vya brand gani mkuu?
 
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,336
Likes
463
Points
180
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,336 463 180

Mkuu wasiliana na Zinol Tanzania LTD
Sinza Mori nyuma ya Big Bon Plot 27A
0754 609090
0655 609090
0784 609090
0773 609090
Quality Lubs recommended by the best at reasonable prices
Virgin mineral oil,Synthetic oil and specialities for all needs
Engines,Gear boxes,Differentials,Transmission,Hydraulics,Greases,Braking,Two Strokes,Transformers etc
For Automobiles,Industrial,Marine,Mining,Aviation and Military Specs
Welcome to Universal Lubricants
 
MIAMIA.

MIAMIA.

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
216
Likes
1
Points
35
MIAMIA.

MIAMIA.

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
216 1 35
Mkuu "MSIMAMIZI WA AFISA MAUZO" na nyie mnauza vilainishi vya brand gani mkuu?
special zaidi na zinazoshauliwa zaidi kwa pikipiki...hasa boxer coz asaivi ipo zaidi mtaani ivyo ni fulsa kwake kuteki advantage kwani wengi awauzi vilainishi vyetu ni wachache sana...oil kama SAE 20W50 of API 'SL', JASO MA Grade...ivyo apo nazungumzia bei ya jumla nampatia
 
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,336
Likes
463
Points
180
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,336 463 180
Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni brand zipi bora,?
Mkuu cheki pm
 
okwili

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Messages
209
Likes
16
Points
35
okwili

okwili

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2013
209 16 35
special zaidi na zinazoshauliwa zaidi kwa pikipiki...hasa boxer coz asaivi ipo zaidi mtaani ivyo ni fulsa kwake kuteki advantage kwani wengi awauzi vilainishi vyetu ni wachache sana...oil kama SAE 20W50 of API 'SL', JASO MA Grade...ivyo apo nazungumzia bei ya jumla nampatia
check this Four-Stroke - Valvoline
 
G

gombyz

Member
Joined
May 22, 2015
Messages
13
Likes
3
Points
5
Age
58
G

gombyz

Member
Joined May 22, 2015
13 3 5
Mimi msimamizi wa afisa mauzo kampuni ya Bajaj Auto T Ltd.wenye brand hizi Bajaj RE 205 Miguu mitatu io,Pikipiki za miguu miwili ni Boxer BM 150,Boxer BM 100,Pulsar,Discover,Baja,Platina n.k niPM nikupe namba kama upo serious for business will speak biashara kwa jumla...n.k
unapatikanaje tafadhali.
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,228
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,228 280
Ningependa kufanya hii biashara
 
Forum statistics

Threads 1,251,864
Members 481,917
Posts 29,788,225