Huwa naamini sana watu wa hapa jamiiforum ndio maana mada hi nimeiweka hapa, Nashukuru sana kwa wazo zuri, naomba kulifanyia kazi mpaka pale nitakaosimama kama BRAND CONSULTINGKazi nzuri lakini, mimi naona kama haiwezekani kuuza mawazo ya biashara kwasababu hayana thamani.
Thamani inatokana na utekelezaji wa hayo mawazo mpaka kufikia kwenye upatikanaji wa faida.
Nadhani ndo maana tunaona zaidi mikopo ikitolewa kuwezesha utekelezaji wa mawazo ya biashara kuliko manunuzi ya hayo mawazo moja kwa moja.
Ninachoona kwako, ni brand consulting, yaani ni kama unasaidia makampuni kutengeneza majina na nembo zao, na kisha kuzitangaza vizuri kwa wateja.
Tusubirie mawazo ya wengine,Huwa naamini sana watu wa hapa jamiiforum ndio maana mada hi nimeiweka hapa, Nashukuru sana kwa wazo zuri, naomba kulifanyia kazi mpaka pale nitakaosimama kama BRAND CONSULTING
Ahsante sana ndio maana nimekuja kuchota hekima na maarifa hapa kwenu jamiiforum natumaini uzi huu utanikutanisha na watu sahihi kabisaNishaskiaga kwa mfanyabiashara mmoja kuwa wazo la biashara ninkama ushuzi kila mtu anao....
Sda SIo wazo shida ni utekelezaji na mikakati yake....
The graveyard is full of men with ideas
Mawazo ya biashara huwa hayapatikani kirahisi hivyo Mungu pekee ndio ataweza kukupa Siri za biashara kwa kumtafuta kwa bidii kuwafanyia matendo mema watu wengineHabari za leo wakuu;
Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake.
Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la biashara yako, wazo la kutengeneza logo yako from scratch na pia wazo la namna nzuri ya kuendesha biashara yako kisasa.
Naenda strait to the point ila kabla sijawapa majina matatu ambayo nimeyaweka sokoni na nimesajili hadi nembo kabisa maana tukielewana nakupa full package ili sasa wewe ukapambane nayo na pia tutakuwa tunashirikiana kimkataba mpaka pale utakapo ona sasa inabidi ukae peke yako.
Majina ambayo mpaka sasa yapo sokoni.
1. GUANGZHOU OF TANZANIA
Wazo hili nilipata baada ya kuona watu wengi wanaenda China kwa ajili ya kununua ama kufunga mizigo yao. Sasa asilimia nyingi ni watu wenye vipato vikubwa. Sasa je wafanyabiashara wadogo wadogo ambao mitaji yao sio mikubwa watafanyaje ? Ndio maana hili wazo likaja kwa tufungue wholesale and retail warehouse kubwa kwa ajili ya biashara hii.
NB; Ukifanya partnership na mchina ambaje ana mtaji mkubwa utawin sana. Nimefanya research hakuna mtu amesajili kwa brand name ya GUANGZHOU OF TANZANIA. Ukiiba hii idea haswa jina tutakutana mahakamani.
2. KIRAKA CHA MOTO
Hii idea niliipata kwa fundi baskeli na shue shine nikiwa Mbeya nimeenda kushona kiatu changu ghafla akaja mdada of course alikuwa na wowowo zuri sana. Basi fundi akamshonea kiatu chake then akaondoka kwa mwendo maridadi kabisa. Nikawa nimevutiwa sana na huyo dada, nikamuuliza fundi unamjua huyu, akaniambia kaka huyu dada ni KIRAKA CHA MOTO ana ukimwi na anaambuliza sana watu, So usijaribu hata kumsogelea.
Nilipenda sana hili jina la KIRAKA CHA MOTO.
Hapa nitatoa idea 3 za kiraka cha moto.
1. KIRAKA CHA MOTO SPARES AND CAR ACCESORIES
2. KIRAKA CHA MOTO FUMIGATION
3. KIRAKA CHA MOTO CAR WASH
nyingine mtajazia.
3. IRON DOME
Wengi wetu mbajua maana ya iron dome.
What if ukaanzisha kampuni yako ya ulinzi ukaiita.
1. IRONE DOME SECURITY SERVICES.
2. IIRONE DOME TECHNOLOGIES
Mengine mtajazia jazia.
Nawasilisha:
Kama utataka idea njoo PM, au njoo kabisa ofisini kwangu Ukonga Banana. Ahsante
Tumia hayo mawazo unufaike wewe kwanza ili uwe roll model kwa wengineHabari za leo wakuu;

Mimi tayari nina kampuni yangu ambayo at least napata hela kidogo, Lakini mada hii pia imewalenga watu ambao tayari wana capital na wanakosa idea ndio maana nimeweka sample ya majina ya biashara lakini pia naandika proposal kwa ajili ya watu ambao wana wawazo lakini wanakosa capital. So hii mada ni mtambuka.Tumia hayo mawazo unufaike wewe kwanza ili uwe roll model kwa wengine
Nafanya biashara ila mtaji wangu ni wa kawaida sana ndio maana nikipata wazo sitaki lipotee au mtu kuniibia, nataka uje na capital yako tusaidiane au una wazo mimi naweka creativity niliyopewa na mungu then nakuachia ufanye biashara yako. Mimi nitakusaidia labda zile hatua za mwanzo za kutafuta compliancenimesoma zaidi ya mara moja ila nilichoelewa hapa ww ni creative wa majina ya biashara tu na sio expart wa biashara either ufanyi biashara kabisa
kwa upande wangu.
always idea nzuri huwa haieleweki kirahisi πͺNafanya biashara ila mtaji wangu ni wa kawaida sana ndio maana nikipata wazo sitaki lipotee au mtu kuniibia, nataka uje na capital yako tusaidiane au una wazo mimi naweka creativity niliyopewa na mungu then nakuachia ufanye biashara yako. Mimi nitakusaidia labda zile hatua za mwanzo za kutafuta compliance
Mm sijaelewa hadi sahivi anahusika na nini hasa π hata majina yenyew yamekaa kiukimwi ukimwi tunimesoma zaidi ya mara moja ila nilichoelewa hapa ww ni creative wa majina ya biashara tu na sio expart wa biashara either ufanyi biashara kabisa
kwa upande wangu.
Unaweza ukawa ni mtu mzima watu wanakuona upo okay kumbe ni kilaza tu, soma vizuri hii mada then fungua Pandora box ndio utaelewa. Futa stigma. Kwenye akili yako, ndio maana baadhi ya mada zangu kama huelewi pita kushoto nenda kwenye mada za kula tunda kimasihara.Mm sijaelewa hadi sahivi anahusika na nini hasa π hata majina yenyew yamekaa kiukimwi ukimwi tu
π usipanic broUnaweza ukawa ni mtu mzima watu wanakuona upo okay kumbe ni kilaza tu, soma vizuri hii mada then fungua Pandora box ndio utaelewa. Futa stigma. Kwenye akili yako, ndio maana baadhi ya mada zangu kama huelewi pita kushoto nenda kwenye mada za kula tunda kimasihara.
pale ilipokuwa ubungo stand kuna kitu kama 'GUANGZHOU OF TANZANIA' kinafanyika, fuatilia.Mimi tayari nina kampuni yangu ambayo at least napata hela kidogo, Lakini mada hii pia imewalenga watu ambao tayari wana capital na wanakosa idea ndio maana nimeweka sample ya majina ya biashara lakini pia naandika proposal kwa ajili ya watu ambao wana wawazo lakini wanakosa capital. So hii mada ni mtambuka.
Mfano hiyo GUANGZHOU OF TANZANIA target yake ni kubwa sana yaani assume ule uwekezaji wa mlimani City. Sasa ndio iwe pale na ni bidhaa za bei ya China.