Biashara ya kuuza vifaa vya kielectroniki inalipa sana

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Hapa nakusudia sana sana vifaa vya simu. Uzuri wa hii biashara unaweza ukachanganya humo humo vifaa vya kompyuta, ukauza padi za gemu,ukauza majagi ya umeme, cables, rimoti, chaja za gari, balbu, ukaongezea humo humo vocha, mobile money transfer (Tigopesa, Mpesa nk)

Ukidizaini vizuri unaweza ukaongezea hata na baadhi ya vifaa vya stationery na ukauza hata na vinywaji.
 
Mawazo mazuri yanapatikana muda mfupi kabla au baada ya kulala, hili ni bonge la wazo kwa kuwa umelipata mida hiyo, ila Kuna vijana waliotoka shule jana hawatakuelewa utaziona comment zao...

... Cost benefit ratio ni ngapi?
..... Internal rate of return ni ngapi na Kama hiyo IRR ni kubwa kuliko inflation
..... Break even inaweza kufikiwa baada ya muda gani?
...... Mtaji wa kuanzia unafaa kuwa kiasi gani?

Mkuu we ukiona mtu ana comment Mambo yanayo fanana na hayo wewe achana nae huyo si mfanya biashara.
Hapa nakusudia sana sana vifaa vya simu. Uzuri wa hii biashara unaweza ukachanganya humo humo vifaa vya kompyuta, ukauza padi za gemu,ukauza majagi ya umeme, cables, rimoti, chaja za gari, balbu, ukaongezea humo humo vocha, mobile money transfer (Tigopesa,Mpesa nk)

Ukidizaini vizuri unaweza ukaongezea hata na baadhi ya vifaa vya stationery na ukauza hata na vinywaji.
 
Uzi mzuri ngoja nivune mihogo mkuranga nita implement the idea!
 
Hapa nakusudia sana sana vifaa vya simu. Uzuri wa hii biashara unaweza ukachanganya humo humo vifaa vya kompyuta, ukauza padi za gemu,ukauza majagi ya umeme, cables, rimoti, chaja za gari, balbu, ukaongezea humo humo vocha, mobile money transfer (Tigopesa, Mpesa nk)

Ukidizaini vizuri unaweza ukaongezea hata na baadhi ya vifaa vya stationery na ukauza hata na vinywaji.
Mangi business mind

Jr[emoji769]
 
Upo sahihi kabisa,na hasa watu wa mikoani wanapata faida sana,unakuta simu fulani inauzwa mkoani kwa elfu 70 zaidi na ile bei ya Dar
lakini pia unaweza kuongeza majiko na ovens ndogo kama una nafasi,uzuri wa smartphone hazidumu watu wanapasua vioo kila siku
 
Mawazo mazuri yanapatikana muda mfupi kabla au baada ya kulala, hili ni bonge la wazo kwa kuwa umelipata mida hiyo, ila Kuna vijana waliotoka shule jana hawatakuelewa utaziona comment zao...

... Cost benefit ratio ni ngapi?
..... Internal rate of return ni ngapi na Kama hiyo IRR ni kubwa kuliko inflation
..... Break even inaweza kufikiwa baada ya muda gani?
...... Mtaji wa kuanzia unafaa kuwa kiasi gani?

Mkuu we ukiona mtu ana comment Mambo yanayo fanana na hayo wewe achana nae huyo si mfanya biashara.
Nimependa hiyo language yako ya financial project management
 
Upo sahihi kabisa,na hasa watu wa mikoani wanapata faida sana,unakuta simu fulani inauzwa mkoani kwa elfu 70 zaidi na ile bei ya Dar
lakini pia unaweza kuongeza majiko na ovens ndogo kama una nafasi,uzuri wa smartphone hazidumu watu wanapasua vioo kila siku
Huo mstari wa mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom