Biashara ya kuuza mbuzi Arusha

Biashara ya kuuza mbuzi Arusha

Mkuu nenda mnada wa morombo au tafuta wale jamaa wanaochoma soko lipo nje nje labda mshindwane bei tu.
 
Nataka niuze Mbuzi Arusha naweza kupata wateja? naomba mwongozo wale wazoefu wa biashara hii
Habari za leo nakupongeza kwa hilo naomba mcheki huyu mfugaji msaidiane mwongozo.0754845047
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom