Biashara Ya Kusagisha Unga wa Sembe

Biashara Ya Kusagisha Unga wa Sembe

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
20,074
Reaction score
24,179
Wana JF
Naomba mwenye ufahamu wa ndani kuhusu kuendesha biashara ya kusagisha na kuuza unga wa Sembe:inalipaje?aina gani ya machine inafaa zaidi,na ujanja wa biashara hiyo!mahindi yapi yanatoa unga mzuri!yaani full details za hiyo biashara tokea yakiwa mahindi hadi packed na kuuzwa!
 
Ni wazo zuri,hakuna haja ya wakenya kuja kununua mahindi Tanzania kwanini tusiwauzie unga.
 
Wana JF
Naomba mwenye ufahamu wa ndani kuhusu kuendesha biashara ya kusagisha na kuuza unga wa Sembe:inalipaje?aina gani ya machine inafaa zaidi,na ujanja wa biashara hiyo!mahindi yapi yanatoa unga mzuri!yaani full details za hiyo biashara tokea yakiwa mahindi hadi packed na kuuzwa!

mashine nzuri zipo sido pale moshi nimeuliza jana wanauza 2.6million kwa mashine ya kusaga na 2.5 million kwa mashine ya kukoboa. hizi za kichina pale kariakoo ni cheap lakini life span yake pia ni ndogo sana na zina usumbufu mwingi ambao kwa wewe mjasiria mali hutauhitaji.
ni biahsara nzuri especially kama una location ya kuziweka hizo mashine ukasaga mwenyewe kwani vinginevyo faida kubwa itakwenda kwa mwenye mashine. aina za mahindi ni yale ya karatu au kondoa ambayo wanasema ni mazito na yanatoa unga mwingi tofauti na yale ya handeni au dodoma ambayo garama ya kuyafanyia usafi ni kubwa na hata ukiyaangalia ni mekunndu hapa ni issue ya udongo mkuu. nisije kuwa natiririka na maneno miiingiii ukute wala sija hit poit ya ulichotaka....
 
Nitayajuaje kama mahindi ni ya dom?
 
Shida ya kutumia hizi mashine kama za sido ni kuwa zinakula sana umeme. 75% Itaishia kulipa umeme
 
so 2.5+2.6 = 5.1 millions plus installations cost, plus start up capital.... da kichwa inaumaaa. pesa ndefu
 
Wana JF
Naomba mwenye ufahamu wa ndani kuhusu kuendesha biashara ya kusagisha na kuuza unga wa Sembe:inalipaje?aina gani ya machine inafaa zaidi,na ujanja wa biashara hiyo!mahindi yapi yanatoa unga mzuri!yaani full details za hiyo biashara tokea yakiwa mahindi hadi packed na kuuzwa!

Ndugu Mleta hoja,
Nikiangalia idadi ya posts ulizo nazo inaonesha wewe si mgeni hapa JF. Kwa nini hupendi kutumia 'search engine' ya JF hapo juu? JF ina hazina kubwa sana ya maarifa, almost kila nyanja. Kuhusu biashara ya kusagisha nafaka, kuna mada tulishaijadili hapa JF, inapatikana HAPA. Pia zipo mada nyingi za namna hiyo, hii ni mojawapo tu. Penda sana kutumia search engine hapo juu kutafuta mada mbalimbali. Hope nimeeleweka

mashine nzuri zipo sido pale moshi nimeuliza jana wanauza 2.6million kwa mashine ya kusaga na 2.5 million kwa mashine ya kukoboa. hizi za kichina pale kariakoo ni cheap lakini life span yake pia ni ndogo sana na zina usumbufu mwingi ambao kwa wewe mjasiria mali hutauhitaji.
ni biahsara nzuri especially kama una location ya kuziweka hizo mashine ukasaga mwenyewe kwani vinginevyo faida kubwa itakwenda kwa mwenye mashine. aina za mahindi ni yale ya karatu au kondoa ambayo wanasema ni mazito na yanatoa unga mwingi tofauti na yale ya handeni au dodoma ambayo garama ya kuyafanyia usafi ni kubwa na hata ukiyaangalia ni mekunndu hapa ni issue ya udongo mkuu. nisije kuwa natiririka na maneno miiingiii ukute wala sija hit poit ya ulichotaka....
Mkuu nimekusoma coz nipo kwenye research ya kuanzisha hii biashara je naomba nikuulize kwa mfano kama nina uwezo wa kununua machine yenye uwezo wa kuzalisha 10t/hrs nianze nayo au nianze na machine ndogo ndogo izi za SIDO kwanza?
 
du 10t/hr kaka wewe bakheresa nini kwa style hiyo bora uende full automatic kwa wachina last Time nimeulizia full set bila zile storage tanks au silos ilikuwa usd 180000 kwa machine yenye uwwzo wa tone120 per 24hrs pamoja na installation ba usafiri itafika kweny 300k. Ila mziki wa mahind ya si mchezo. Ila hats hizi za mtaan mbona unaweza funga hafa kumi ukiwa na transformer yako. Anza na ndogo upigwe darasa kwanza
 
Back
Top Bottom