Niliwahi kupeleka redbull na vikoi kitambo, ila line za malawi zinabadilika sana inaenda na msimu kama kipindi hiki nina mwana anatoa soya malawi, na mabelo ya mitumba inamlipa! Wengine wanavusha vipombe ila issue wakikuotea unakata mtaji lazima usome magap kwanza.