Biashara ya kununua na kuuza screpa

Biashara ya kununua na kuuza screpa

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,222
Biashara ya kununua na kuuza screpa Wewe unakaa tu oficini vijana wanakuletea machuma chuma unawapa hela yakijaa unapeleka kiwandani na wewe unapewa hela mwenye uzoefu na hii biashara tubadilishane mawazo
 
Hapana swali lakizushi tuu ulishawahi ona mataruma la reli kwa muuza screpa yoyote!!
Hapana mkuu sasa nimekuelewa, umakini unahitajika wauza scepa wakati mwingine wanauza vitu vizima nimeshuhudia sufuria ikiwa na ugali ikiuzwa screpa.
 
Nenda pale kurasini kuna tajiri mmoja anaitwa Slivano ndio utajua hiyo ni biashara kubwa sana
 
Asee niko pori flani ivu screpa zipo nyingi sana ,kuna mamashine ya zamani sana yametelekezwa hapa kama vipi tuwasiliane
Aisee Kuna plates kubwa zenye unene kuanzia 20mm? Kama zipo , nahitaji vipande 22,! Upana futi 1, urefu futi 3. Kwa kila kipande ntakupatia Tshs 15,000/=
 
Back
Top Bottom