Issue ya kutengeneza pesa ni pana! Ndo maana kuna wanaopata pesa ndefu zaidi yako, ila wako kimya,au wanakubeza! Kuna kitu kiuchumi tunaita RIR /RRI (Rate of Return to Investment) , yaani kwa kifupi ni uwiano wa shilingi unayowekeza kwa faida utakayopata. Yawezekana ungetuwekea mchanganuo wa kifedha wa biashara yako tungekushauri vinginevyo na baadae ukajipima.Nashukuru naona uzi wangu umeshanza kueleweka sasa mwanzoni nilipoandika nikaonekana kama sijui biashara vile, wakati watu tuna tengeneza pesa kirahisi kabisa, kama unakaa ofisini nashauri japo kutenga muda wakutembelea mradi japo mara 2 kabla ya kuuza.
Yuko kipande kipi cha Kenya mkuu? Una contacts zake tukajifunze toka kwake? Thanks in advance.Kenya kuna daktari ananenepesha mpaka ngombe 2500 kwa mwaka. Je Tanzania tunaweza?
Issue ya vibali vya kusaifirisha nje ya nchi process ikoje mkuu?Very Good. Tunatakiwa kuchangamka namna hiyo,na usishangae ukaja uza 500,000/= kila mmoja. Kitakachokukwamisha ni kama utauza soko la ndani. Jitahidi uuze nje ya nchi watakapokuwa tayari. Takwimu za karibuni,zinaonyesha nyama inadoda kutokana na ukwasi. Mfano Dar,kuna maeneo kilo moja ya nyama ni Tsh 5500/= ambayo huko nyuma ilikuwa 8000/= hadi 9000/=. Ukipiga hesabu,ngombe wa kilo 250 (kwa ambao unao hawatafika hivyo),akichinjwa 48% ndio nyama sawa na kg 120*5500/= sawa na 66000. Ina maana atanunuliwa kama 400,000/ hivi mnadani Pugu. Ila huyohuyo ukimpeleka mf. Kenya,waweza kupata 600,000/= au zaidi.
Vibali :Issue ya vibali vya kusaifirisha nje ya nchi process ikoje mkuu?
Vibali :
1. Export licence
2. Export livestock Health and Movement permit
na ulipe fee kwa kila mnyama.
3. Tanzania Meat Board Registration certificate
4. Invoice with common bank account to clarify the transactions
I love cows, i love keeping them, i love their business, not only that my favourite foods are meat and milk. One yes!
TrueI also do and we have too sidhani kama tuna-option nyingine. Everything from them ni mali mpaka kinyesi.
Thanks too! No 1 to 3, need not to trot too far, communicate to Zonal Vet Offices. I'm now retired from that bussiness,but still hope no change in that formality.Mkuu thanks a lot. So number 1-3 zote zinapatikana Wizara ya Kilimo na Mifugo? Meat board nao bado wanahusika japo unasafirisha wanyama hai na si nyama?
Thanks too! No 1 to 3, need not to trot too far, communicate to Zonal Vet Offices. I'm now retired from that bussiness,but still hope no change in that formality.
Ni kweli, wote hatuwezi kuwa sawa kuna mwingine akipata million 2 kwake ni hela nyingi sana , ila kwa wa upande wa pili si chochote, so ni level tu za maisha na mahitaji ya mtu binafsi,Issue ya kutengeneza pesa ni pana! Ndo maana kuna wanaopata pesa ndefu zaidi yako, ila wako kimya,au wanakubeza! Kuna kitu kiuchumi tunaita RIR /RRI (Rate of Return to Investment) , yaani kwa kifupi ni uwiano wa shilingi unayowekeza kwa faida utakayopata. Yawezekana ungetuwekea mchanganuo wa kifedha wa biashara yako tungekushauri vinginevyo na baadae ukajipima.
Maoni mazuri,waliofanikiwa zaidi,walianza kidogokidogo kama wewe,endelea kujiimarisha.Ni kweli, wote hatuwezi kuwa sawa kuna mwingine akipata million 2 kwake ni hela nyingi sana , ila kwa wa upande wa pili si chochote, so
ni level tu za maisha na mahitaji ya mtu binafsi,
Mkuu hapo me ninachoomba ni kujua ni kwa namna gani au mchanganyiko wa vyakula gani vinaweza kusaidia kunenepesha mifugo.Ninakuelewa. Maana ya kunenepa,ni kuongezeka mafuta mwilini! Kitaalamu,hii ya kunenepesha ngombe haielezei kirahisi tu hivyo. I'm aware of the several ways of fattening meat animals. Nevertheless, scientifically,meat animal fattening implies increasing its body weight in a shorter time with determined level of its meat quality such as lean,fat,taste,tenderness,colour. Different nutritious feeds singly or in combination can solely be used or plus growth promoters to fatten meat animals.
Ametoa MFANO tu mkuu. Sio lazima ng'ombe auzwe bei hiyo aliyotaja.Acha tu nimeshtuka sana. Hivi huyu jamaa hela anaijua lakini ?? [emoji23][emoji23]
Hapo inabidi ujiongeze mwenyewe. Ng'ombe halishwi kwa majani au kuchunga tu. Ukitaka kufahamu mbinu za kunenepesha ng'ombe kwa muda mfupi, muone mtaalamu wa mifugo aliye karibu nawe.Ndugu,kama kuna ukame,naye mtoa post kasema unawachunga miezi miwili wananenepa! Loh! hii ikoje? Au majani yataota kwa vile unataka faida? Nahisi kuna mahali hujaeleza vizuri kuhusu kitu kinaitwa "Vyakula vya Ziada" hasa kipindi cha kiangazi.
Hii ni story ndefu na ya kitaalamu. Ila, kwa kifupi, na ili kukusaidia nijibie maswali haya,kabla sijaendelea na storyMkuu hapo me ninachoomba ni kujua ni kwa namna gani au mchanganyiko wa vyakula gani vinaweza kusaidia kunenepesha mifugo.
Kwenye issue ya ngombe wa Maziwa,Tz wapo wanaozidi hao 200, na wanatoa maziwa zaidi. Kama lita 1500 kwa ngombe 200 means, Lita 7.5 kwa ngombe kwa siku which is very low.Hii biashara in nzuri sana kama MTU atakuwa anaifanya serious. Kenya yupo baba ananebepesha ngombe 400kwa mwaka. Kwa nini Tanzania tunashindwa? Wenzetu wakenya wapo mbali sana .MTU mmoja anamiliki ngombe wa maziwa 200 kwa siku anakamua mpaka Lita 1500 .we have to think outside the box.