nimechafukwa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 290 Reaction score 237 Sep 5, 2014 #1 Nataka niwe nauza kuku wa kienyeji natoa mikoani napeleka Dar es Salaam. Sasa cjajua mikoa gani iliyo karibu naweza kupata hawa kuku na kwa bei gani. Nataka kuanza na kuku kama 200 hivi. kwa mwenye uzoefu na hii biashara anijuze...
Nataka niwe nauza kuku wa kienyeji natoa mikoani napeleka Dar es Salaam. Sasa cjajua mikoa gani iliyo karibu naweza kupata hawa kuku na kwa bei gani. Nataka kuanza na kuku kama 200 hivi. kwa mwenye uzoefu na hii biashara anijuze...
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,210 Reaction score 13,049 Sep 5, 2014 #2 Singida na Bahi (Dodoma) nasikia kuku ni bei nafuu sana. Mikoa ya jirani na Dar tayari wameshajanjaruka, hivyo bei za kuku ziko juu..
Singida na Bahi (Dodoma) nasikia kuku ni bei nafuu sana. Mikoa ya jirani na Dar tayari wameshajanjaruka, hivyo bei za kuku ziko juu..