Biashara ya kukodisha magari, msaada tafadhali

Biashara ya kukodisha magari, msaada tafadhali

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,140
Reaction score
395
Wana jf heshima kwenu.

Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kukodisha magari. Ninayo magari mawili 4x4 heavy duty ambayo siyatumii hivyo nimeonelea nianze na hayo kwanza. Mwenye uzoefu na biashara hii msaada tafadhali.
 
ok! unakodisha kwa shilingi ngapi kwa siku tufanye biashara? na gari zipo wapi?
 
ok! unakodisha kwa shilingi ngapi kwa siku tufanye biashara? na gari zipo wapi?
Mkuu nataka kwanza nipate uzoefu kutoka kwa wale ambao tayari wamefanya biashara hii baadae nifikirie kufanya au la.
 
Sunshow, kuna mtu anataka. Reply to me b4 11:00 27/08/2012
 
Back
Top Bottom