salam zetu member wa jf!
Wanachama wenzangu kwa kweli ajira imekuwa ngumu sana kupatikana,sana sana kujiajiri tu ndo fursa bomba.
i.Sasa ombi langu kwenu,ni dogo tuu nahitaji ushauri wenu.
Ni kwmba nimekaa na serikali ya kichwa changu nikaona nivema kama itawezekana nifungue hii huduma ya kutunza/kuhifadhi maiti katika majokofu.
biashara hii nataka niifungue karibu kabisa na hosptali mojawapo hapa Dsm.Manake nimezungukia baadhi ya hosptali nikakuta baadhi ya maiti zinalazwa chini,nikaona hii ni fursa vilevile endapo ntanunua walau majokofu makubwa sita ya kuanzia.
Mkononi nina million 8tu.
Ushauri plz.
nashkru kwa ushauri wako,ila khs oni lako,ntapata kweli vijana wa kazi?M 8 ndogo sana mkuu !
Haitoshi kabisa !
Kama tatizo ni Ajira hiyo M 8 ungeanzia biashara nyingine ! Tu
ingeweza kukusaidia !
Au nunua Bastola ! Na wenzako muanze kupora hela ! Za watu !
Effiction sredi !
mkuu kuhusu hilo,sijali sana manake hata maandazi na vitumbua vinavyoliwa kila siku sometimes navyo hudoda,Sasa msee biasala ikidoda si ndo utaanza kufunga maombi watu ife ili upate faranga.
Ahsante mkuu kwa ku respond.Inabidi kwanza ufanye research ya kutosha na kuangalia kama mahitaji hayo yapo; na kama yapo utachaji kiasi gani na cost/capacity unategemea iwe kiasi gani na pia backup yako itakuwa nini iwapo umeme utakatika..
Pili lazima ujiulize mteja wako atakuwa nani, Hospitali (mortuary ikijaa) au wafiwa.., na kama wafiwa kwanini waje kwako na sio Hospitali, sababu kama mtu amefia hospital sidhani kama nafasi itakuwepo mortuary itakuwa rahisi watu kutoka hospital na kuja kwako.
Kwa ushauri badala ya kutoa service ya mortuary ungetoa funeral service ina-make sense zaidi yaani badala ya huduma ya kuhifadhi maiti peke yake fanya na ya majeneza na kutoa huduma zote za mazishi na maiti (kuosha mwili n.k.)
Haka kabiashara nishawahi kukawaza!
Ila haka kauzi kamenitsha kukasoma usiku huu.
Iwapo kuna watu watasusa kuchukua Kweli Wa ndugu yao .lzm ujiandaa kwa hilo na wengine kushindwa gharama cjui umejiandaaje kwa hilo