Biashara ya kufanya kipindi cha likizo

maneno21

Member
Nov 1, 2021
32
31
Wadau mungu awe nanyi naombeni ushauri nifanye biashara gani ya kupiga pesa ya chap chap kipindi hiki cha likizo kwa mtaji wa laki 7 maeneo nilipo ni mbagala dsm
Mungu awabariki sana
 
Wadau mungu awe nanyi naombeni ushauri nifanye biashara gani ya kupiga pesa ya chap chap kipindi hiki cha likizo kwa mtaji wa laki 7 maeneo nilipo ni mbagala dsm
Mungu awabariki sana
Tumwambie au tumuache ajionee mwenye kwamba likizo hii pesa chap chap.

anyway tuko msimu wa siku kuu tafuta site uza marembo ya kike viatu vya kike
 
Kwanza hakuna biashara halali ya kupiga pesa chap chap (ondoa hilo wazo akilini mwako)

Uko likizo ya shule
Chuo
Kazi au nini?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
hiyo mentality ya chap chap itakukosti.

anyway kama ni born town unaweza, kama ni wakuja vuta pumzi kwanza.
 
Back
Top Bottom