Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,110 Reaction score 9,277 Jul 26, 2014 #2 Ndugu fika |tandale sokoni funga Mchele, maharage na Viazi bila kusahau Nyanya, nunu na Mzani wako unaanza kuwabana kitaa mdogmdogo!
Ndugu fika |tandale sokoni funga Mchele, maharage na Viazi bila kusahau Nyanya, nunu na Mzani wako unaanza kuwabana kitaa mdogmdogo!
MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 328 Jul 26, 2014 #3 mpolemimi said: ushauri Click to expand... Nenda kaanzishe biashara ya Mitumbaaaa...Inalipaa sanaa..
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jul 26, 2014 #4 Nenda Kariakoo nunua nguo za ndani kisha kauze mtaani...
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Jul 27, 2014 #5 charminglady said: Nenda Kariakoo nunua nguo za ndani kisha kauze mtaani... Click to expand... Sikuhizi hawavai hizo nguo, ilikuwa zamani sana, atafte laini ya mpesa ajishughulishe
charminglady said: Nenda Kariakoo nunua nguo za ndani kisha kauze mtaani... Click to expand... Sikuhizi hawavai hizo nguo, ilikuwa zamani sana, atafte laini ya mpesa ajishughulishe
D Daichii Member Joined Jul 11, 2013 Posts 91 Reaction score 24 Jul 27, 2014 #6 laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Jul 27, 2014 #7 Daichii said: laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm Click to expand... Mkuu mtu kaomba ushauri peupe tu kwanini jibu liwe PM??? mjibu hadharani na wengine waweze kuchangi utakapo fail au kusahau.
Daichii said: laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm Click to expand... Mkuu mtu kaomba ushauri peupe tu kwanini jibu liwe PM??? mjibu hadharani na wengine waweze kuchangi utakapo fail au kusahau.
M momentoftruth JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,057 Reaction score 2,190 Jul 27, 2014 #8 Daichii said: laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm Click to expand... Mkuu mbona unamuita chemba tena!kuna usalama kweli!
Daichii said: laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm Click to expand... Mkuu mbona unamuita chemba tena!kuna usalama kweli!
D Daichii Member Joined Jul 11, 2013 Posts 91 Reaction score 24 Jul 27, 2014 #9 jamani hakuna usili wala nn
L Lihove JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 209 Reaction score 69 Jul 27, 2014 #10 Mtalingolo said: Mkuu mtu kaomba ushauri peupe tu kwanini jibu liwe PM??? mjibu hadharani na wengine waweze kuchangi utakapo fail au kusahau. Click to expand... Mkuu naungana na wewe .Kuna hatari huko .anaye kuitia chemba ukubali roba.haraka ya nini we toa ushauri hapa hapa ili wote tufanye analisisi
Mtalingolo said: Mkuu mtu kaomba ushauri peupe tu kwanini jibu liwe PM??? mjibu hadharani na wengine waweze kuchangi utakapo fail au kusahau. Click to expand... Mkuu naungana na wewe .Kuna hatari huko .anaye kuitia chemba ukubali roba.haraka ya nini we toa ushauri hapa hapa ili wote tufanye analisisi