Biashara ya korosho

Watu wa Kusini wasogee.. Nadhani watatupatia mchanganuo mzuri tuu

Hata mkuu wetu Zitto atatusaidia kwa hilo

Ila picha yako ya korosho mleta mada ungefanya kuibadilisha kidogo.. Naona inaleta ukakasi flan iv
 
Ukakasi tena? Mkuu
 
DAAH MKUU KWENYE PICHA HIYO NDO KOROSHO YENYEWE😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…