Biashara ya karatasi

Maega

Senior Member
Jul 10, 2010
156
30
Wakuu habari zenu.

Nimeona kuna demand mkoa flani hivyo ninahitaji kufanya bussiness ya karatasi. Kuna mtu anafahamu humu wapi wanaweza kuwa wanauza karatasi kwa bei ya jumla apart from yale maduka ya stationers K'koo (let's say from 500 cartons. 1 carton ni box ambalo ndani kuna ream 5)
 
Karatasi multipurpose nyeupe A4 hz tunazotumia kwenye matumizi mbali mbali kila siku kama kwa photocopy n printing
 
Karatasi multipurpose nyeupe A4 hz tunazotumia kwenye matumizi mbali mbali kila siku kama kwa photocopy n printing
Nadhani ungefuatilia kwenye kiwanda wanachotengeneza karatasi
Kule ngogoro iringa wilaya ya mufindi
Kinatwa mufindi paper mills ltd
Tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom