stringerbell
Member
- Feb 19, 2010
- 86
- 0
- Thread starter
-
- #21
Hah hah hah, Yona una ubia nini na hawa jamaa? jamaa speed yao ya internet ni slow sana ila wanawavutia wateja wao kwa kuwaeke Porn movies na music kwenye chumba maalumu ambacho kila computer imetenganishwa na pazia. Iko hapa Mwenge bara bara ya Africasana inatizamana na msikiti mmoja hivi.Hivi wewe I.T spesholist unawashawishi watu kwenda kwenye cafe kama ile ambayo imejaa ma-virus? isitoshe Huwezi kuchukua movie/music kwenye computer zao wame disable USB port zote.
wakuu nataka kuanzisha internet cafe hapo bongo mimi nipo state nataka kujua kawaida how much do you charge per hour this days ?na internet provider fee yao ni kiasi gani kwa mwezi.thanks
Hahaaa......Mnawakatisha tamaa vijana wanaotaka kurudi nyumbani. CAFE BUSINESS ZIPO HATA HUKU WANAKOTENGENEZA HIZO MOBILE PHONES UNAZOONGELEA MKUU. Biashara ni jinsi unavyoweza kujipanga.You are still living in the 1990's
It made me laugh someone living in the state thinking to start a cafe business in Dar. What a lazy thinking. Cafe business has gone! many people have access to cafe though mobile fones companies etc.
Njoo tu uwe frustrated.
Think of something else. acha uvivu wa kufikiri
IN designing your internet cafe there might be companies interested for the structural cabling design (LAN) or Wireless (WLAN) and Internet business consultancy before your operations begins.
Would you be interested for quotation from some companies.
Kindly revert with your email address and your physical address in Dar es salaam.
Very nice to have an opportunity from you.
Kind regards.
Kero
Hahaaa......Mnawakatisha tamaa vijana wanaotaka kurudi nyumbani. CAFE BUSINESS ZIPO HATA HUKU WANAKOTENGENEZA HIZO MOBILE PHONES UNAZOONGELEA MKUU. Biashara ni jinsi unavyoweza kujipanga.
Mkuu TB ulichosema ni kweli lakini unajuaje kama yeye anataka ku transffer technology na kutuanzishia a modern IC ambazo kweli ziko kwenye standard na watu wakapata service za uhakika?Kwani kuishi US ndio kuwa na mind ya ajabu. Umemalizia vizuri kuwa Biashara ni jinsi unavyojipanga(ingawa yeye hakusema kuwa anataka kuifanya kama biashara)Hahaaa......Mnawakatisha tamaa vijana wanaotaka kurudi nyumbani. CAFE BUSINESS ZIPO HATA HUKU WANAKOTENGENEZA HIZO MOBILE PHONES UNAZOONGELEA MKUU. Biashara ni jinsi unavyoweza kujipanga.
Jamani mutwambie nyie mnaoishi huko majuu mi mwisho wangu ni pale ukonga huko juu je hakuna Internate cafe?sababu naamini huko ndiko walikoendelea na kila mtu ana connection ya net je ni kweli hazipo na kama zipo kwanini ndugu utoe kashfa kwa mtu aliyeko majuu kuanzisha biashara ya internate au kuna biashara spesho za watu ambao wanaishi ulaya na wale ambao wanaishi bongo.Tena mimi ningekuwa naishi huko majuu ningefanya biashara ya mitumba ya nguo na viatu kwa mwaka mmoja tu ningekuwa tajiri kama fisadiYou are still living in the 1990's
It made me laugh someone living in the state thinking to start a cafe business in Dar. What a lazy thinking. Cafe business has gone! many people have access to cafe though mobile fones companies etc.
Njoo tu uwe frustrated.
Think of something else. acha uvivu wa kufikiri
Huwa najiuliza sana kuhusu huduma za Internet Cafe. Hata mimi nilikuwa na wazo la kufungua kwa hapo baadaye. Lakini kuna maswali kama haya hapa huwa najiuliza.
1. Unamchaji mteja sh. 1000 kwa saa au hata 1500 kwa saa. Je vipi kuhusu limit ya data anazotumia. Maana yake anaweza kuja mteja mwingine na kuanza kudownload movie au video. Na kama movie hiyo ina ukubwa wa 500MB wakati gharama ya kununua data za 500MB mfano kwa Vodacom ni sh. 40,000 ambayo ni sawa na 80sh./Mb.
Wenye uzoefu na hizi cafe watuelimishe hasa namna ya kulimit data. Mimi nilifikiri ingekuwa hivi. Sh.1000 kwa saa lakini iwe chini ya 5Mb, sijui kama kitu hiki kinawezekana.
Mtu huwazia biashara kutokana na mtaji wake. Nani aliyekwambia kuwa kila aliye majuu ana VIJISENTI kama vya chenge? au ndiyo kulimbukia?
Mzee wewe shuka bongo, hiyo cyber cafe si lazima uanzishe Dar, unaweza kuangalia mikoani pia, mikoa mingine net moja tu Posta, wana computer 10 na wanauza 120,000/= kwa siku (12hrs/pc pd!) na watu wanajaa kusubiria huduma mpaka saa mbili usiku. 12*1000*10*26=3,120,000pm, ukiwa na 20pc ukapata 5m kwa mwezi unahasara gani mzee? Askutishe mtu, nyumbani ni nyumbani, hata kama hauna kitu wewe shuka tuu!
nakubaliana nawe kwa hiyo bolded red point. kwa dar, I daught, I have been in that business, msimdanganye.
Vipi kuhusu hii hapa, Kwa mfano hawa Vodacom wana kitu kinaitwa INTERNET BOMBA wao wanacharge sh. 60,000 kwa mwezi na ni unlimited. Hii nadhani inafaa zaidi kwenye Internet cafe. Hapo unasemaje?mkuu
ukitaka kuweka internet cafe bora uchagua unlimited option kwasababu ni stress free .mambo ya kununua data yashapitwa na wakati .pay as you go na personal use then unaweza kununua data.jambo la kuzingatia katika hii busness ya internet cafe ni kuwapa wateja freedom ya kusurf the net as much as they want without worrying about data .kama mteja atakuja kudownload movie ambayo data yake ni 700mb kama atamaliza kudownload within one hour .you can still charge sh .1000
Kwani ni lazima uingie kwenye jengo lao?Vipi ukiweka mwamvuli?mitambo ikawa huko 15KM? Yaani watu uchumi mnao lakini hamuutoi,sasa mpe huyo bwana bure!Me nadhani kwa kuanza, ungeanzisha wireless hotspot. Watu wengi wana laptop hapa bongo. Kwa pale mlimani city kuanzisha internet cafe, unabidi ujiandae na renting fee ambayo ni ya kufa mtu.
Ila, unaweza ukapata sehemu karibu na mlimani city, then ukatafuta wireless device ambayo ni powerful inayoweza ku beam hadi pale mlimani city. Wireless network yako isiwe na security, ili kila mtu aweze ku connect.
Ila after connection, they get a message on how to pay to get a service. This is easy to do na kuna software zinasupport. Alafu, wewe unatengeneza voucher cards zenye activation code zinazoweza kumpa mtu muda wa saa 1 2, 3 kutokana na mahitaji. Ongea na watu wa pale restaurants wakuuzie hizo vouchers kwa commission flani.
Kama upo US, kupata powerful wireless devide its easy. I know how to assemble equipments that ca beam up to 10 - 15 km distance. So ukiwa pale karibu na mlimani city, unaweza uka beam mpaka ubungo bila wasi wasi. It will roughly cost around 300 - 400 bucks.
Mpe changamoto basi!yeye kasikia wa TZ tuna shida ya internet access, mpe changamoto aitafutie ufumbuzi.Maana wa TZ tuna matatzio mengi yanayohitaji ufumbuzi.mpe changamoto aje na wazo jipya. Mimi sipendi hii trend ya kuwa aliye majuu ana mawazo makubwa ya biashara,elimu etc?walio nyumbani ndio wenye mawazo kwa sababu wanaona ni wapi panahitaji huduma,Miundombinu mwambie wapi panahitaji miundombinu gani jamaa arekebishe na usione wengi hawa comment kuna jamaa wana madaftari wanasikilizia kwa mbali!GD!Mkuu wewe uko majuu.njoo na wazo kubwa zaidi la kibiashara.haya mambo ya internate cafe waachie wabongo wa hapa hapa ambao.kwanini kila mtu aige biashara, kwani nini usifikirie wazo jipya mkuu. Una maarifa mengi basi yatumie sio kuiga tu.yaani kila mtu auze maandazi kisa kamuona fulani anawateja kiasi.mi sipendi biashara za kuiga iga kwa hazina faida zaidi ni kukudumaza tu.Please njoo na wazo jipya.asante