Mgongo wa paka
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 485
- 36
Najaribu kubrain storm business atleast ya kunikeep busy wakati huu mgumu nilionao baada ya kuhitilafiana na boss wangu. Nina km 2M mkononi nimeulizia frame zinaenda kwa laki 8 annually, nabaki na 1.2 in hand. Nina desktop 1 ya kurepare iliungua power supply, naweza tumia hata laptop yangu kusuppliment assets zinazohitajika. Ni vitu gani vingine vitahitajika wadau ili kufanikisha wazo hili? Je biashara hii itanilipa hata kihela tu cha kuhemea msosi in the meanwhile nasaka sehemu nyingine ya kufanya kazi? Mtaji wangu je, utatosha?
Nipo maeneo ya Kijiweni njia ya kwenda Malimbe SAUT, ushauri wenu utanifaa sana wakuu hata kama kuna wazo mbadala linakaribishwa. Asanteni.

mkuu njoo tuonane. tushauriane uswahili utacapitalize huo mtaji lakini huko majanga. 0713665909
Mkuu,kwani gharama zake za leseni zikoje???.Alafu biashara hii ya internet cafe pamoja na kufa taratibu nenda kaulize gharama za leseni sasa.......upuuzi mtupu.......sometimes serikali inahitaji watu wanasoma alama za nyakati ili walau hii biashara iendelee kupumua kusaidia wasioweza kuwa na simu za gharama.......
watu wanatumia simu siku hizi, kufunga safari kwenda care si usumbufu huo dogo?biashara ya analogi hiyo.vipi wakuu habari za christmas huku mkijiandaa na mwaka mpya naitaji mnielewsheshe hapa kuhusu biashara ya internet cafe je ina lipa na mambo gani natakiwa niyafanye
ulivyoelewa mkuuUnatakiwa
elewa nimeomba kueleweshwa hicho nilichoandika sijaomba unishauri mbali na hichoJiunge na ujasilia Mali group
ndivyo mlivyo mkipata vismartphone vya kizembe mnajifanya hamjui hata ndugu zenu haya banaHivi kumbe hua bado kuna internet cafes..!!!
SmartPhone imeshauwa soko la internet cafe....buni miradi minginevipi wakuu habari za christmas huku mkijiandaa na mwaka mpya naitaji mnielewsheshe hapa kuhusu biashara ya internet cafe je ina lipa na mambo gani natakiwa niyafanye