Wewe ukifanya inatosha. Sio kila mtu anapenda kuvuja jasho ovyo randomly with no reasonable price kama wewe. Au kamshauri Lugumi, akikubali NAMI nitamfata.Sio ngumu tuu pia ni biashara za vijana wale wavivu kufanya kazi za kuvuja jasho..
Wakuu tufanye kazi za kuvuja jasho aisee
Kaka kwahyo wewe upendi kufanya kazi za kuvuja jasho unapenda kazi laini pesa nyingi sio..?Wewe ukifanya inatosha. Sio kila mtu anapenda kuvuja jasho ovyo randomly with no reasonable price kama wewe. Au kamshauri Lugumi, akikubali NAMI nitamfata.
Mkuu kwanini upendi kufanya kazi ya kuvuja jasho ambayo inakuingizia kipato..?Nitavuja jasho nikiwa kwenye kifua Cha mwanamke na si vinginevyo.
Hakuna mtu anayetaka afungue hio biashara hajui faida inapatikanaje?Naomba kuuliza hatua za kufuata kufungua bureau de change na je kama investor kwenye hio biashara napataje faida au wenye bureau de change wanapataje faida.
Natanguliza shukrani.
We fela acha mambo yako bana fanya kazi ngumu sawaKamuulize Lugumi kama utafanikiwa kuonana nae ..akikujibu ...jibu lake ndio jibu langu.