M Marambo Senior Member Joined Jul 26, 2015 Posts 104 Reaction score 66 Jan 17, 2022 #1 Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
A ABUURA Member Joined Aug 31, 2022 Posts 43 Reaction score 26 Feb 10, 2025 #2 Hata mie nataka kujua pia
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,746 Feb 10, 2025 #3 ABUURA said: Hata mie nataka kujua pia Click to expand... Ngoja tusubiri maoni.Naamini uzi haujaonwa tu na watu, ila kuna wenye experience yakutosha
ABUURA said: Hata mie nataka kujua pia Click to expand... Ngoja tusubiri maoni.Naamini uzi haujaonwa tu na watu, ila kuna wenye experience yakutosha