Biashara ya daladala Dar ishaingia mdudu

shida ya kuajiri wanaojua kusoma na kuandika tu wakati kuna wataalam wa transportation..
hakukua na haja ya kuua route ya mawasiliano to posta au kariakoo au muhimbili via morogoro road. sijui aliyebuni hii mwendokasi aliwaza nini, badala yake basi zao hazitoshi kubeba watu na watu wa kiunga kile wanateseka sana. wakaja wajanja wajanja kuanzisha route ya makumbusho mnazi mmoja via mabibo. hili jiji kuna watu wanacontrol mpk mifumo ya usafirishaji watu kwa manufaa ya wenye magari.
 
Subirini watu wa mbagala wawangolee viti vyenu

Ova
 
Biashara hii ilishaingia mdudu kitambo kwa upande wa konda na dereva wake tangu Magufuli awaruhusu trafiki kuchukua pesa barabarani.
Kwa wamiliki wa magari bado nzuri sana
 
Barabara ya Kimara-Mbezi-Kibaha ina mwendokasi na bado daladala zinasajiliwa mpya na wanapiga maokoto kama kawa

Jiji lina watu wengi sana hili mkuu. Kama una chombo kitie road usiogope
 
Kwa wingi wa watu wa gomz haitakua usumbufu hapo?
Kumbuka kutakuwa na mwendokasi. Inapita pale Temeke itaenda Goms zo still watakuwepo watakaopanda Mwendokasi ambayo itaishia Goms.
Je, anayetoka Temeke kwenda Chanika sio fursa ya daladala hiyo?
 
Reactions: Lax
Ngoja kwanza, wamepata muwekezaji mpya au yale yale madudu 🤔🤔kama bado ni wale wale wapuuzi bora kuendelea kubanana kwenye maganda ya karanga
 
Kumbuka kutakuwa na mwendokasi. Inapita pale Temeke itaenda Goms zo still watakuwepo watakaopanda Mwendokasi ambayo itaishia Goms.
Je, anayetoka Temeke kwenda Chanika sio fursa ya daladala hiyo?
Okay hapa nimekupata kwaufasaha mkuu
 
Hii ya Kigamboni Mbezi via Mandela road imekaa poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…