themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,844
Hv huu mradi wa posta to tegeta unaanza liniUkute mtu ana eicger namba e bado mbichi alafu yupo route ya tegeta,mbagala, g mboto sijui wana hali gani
Maana mwendokasi unakuja kuwaondoa wote
Waambie waje Dodoma inalipa!Ukute mtu ana eicger namba e bado mbichi alafu yupo route ya tegeta,mbagala, g mboto sijui wana hali gani
Maana mwendokasi unakuja kuwaondoa wote
Daladala za kimara k.koo,Kimara posta ziko wap?Hata huku kwenye mwendokasi daladala zinapiga kazi kama kawaida, siyo kila mtu anapenda kupanda hizo mwendokasi zenu ambazo watu wanashonana kama nyanya kwenye tenga.
Mbona mbezi zipo kibao tu na mimwendo kasi ipoDaladala za kimara k.koo,Kimara posta ziko wap?
Mwendokasi ulizimaliza
Nani kakuambiaUkute mtu ana eicger namba e bado mbichi alafu yupo route ya tegeta,mbagala, g mboto sijui wana hali gani
Maana mwendokasi unakuja kuwaondoa wote
Mwendo kasi hii hii ya wabongo
Ukute mtu ana eicger namba e bado mbichi alafu yupo route ya tegeta,mbagala, g mboto sijui wana hali gani
Maana mwendokasi unakuja kuwaondoa wote
Hii ya tandika -chanika via gomz, si kuna tandika-gomz tayari mkuu?Wabuni ruti mpya. Gongo la Mboto Mbagala via Mvuti na Kitonga.
Mbezi Bunju via Mpigi Magoe/Mabwepande
Mpigi Magoe to Gongo la Mboto via Mbezi
Chanika Tandika via Gongo la Mboto
Tegeta Segerea via Mbezi
Goba Segerea via Mwenge
Kigamboni Mbezi via Mandela Rd
Ununio Makumbusho via Mwai Kibaki Mbezi Chini
Kigamboni-Kinyerezi via Mandela Rd/Tabata
Tatizo hao LATRA wenu hawana watu waona mbali....eti kuna viroute Mbezi Segerea. Au Kimanga Kinyerezi.
Hahahaha wametoa Daladala morogoro road wakaweka Bajaj, hizi akili ni matopeMwendo kasi hii hii ya wabongo
Ushasema Tandika Goms, waondoe goms ifike hadi ChanikaHii ya tandika -chanika via gomz, si kuna tandika-gomz tayari mkuu?