Biashara ya dagaa

Biashara ya dagaa

Joined
Jan 8, 2018
Posts
16
Reaction score
18
Guys kwa yoyote aliepo Mwanza naomba unipe ramanii ya kupata dagaa wasio na mchanga nataka kilo 100 kila sikuu.

Kwa mawasiliano ni chekii 0744714226
 
Guys kwa yoyote aliepo Mwanza naomba unipe ramanii ya kupta dagaa wasio na mchanga nataka kilo 100 kila sikuu.

Kwa mawasiliano ni chekii 0744714226
Wewe upo wapi? Na unataka waliokaangwa tayari au waliotoka kuvuliwa tu? Au unataka waliokaushwa na jua? Huku ziwani wanauzwa kwa sado au ndoo. Masokoni wanauzwa waliokaangwa pia
 
Naitwa Msola mwenyeji wa Mwanza nimekuwa mdau wa uuzajii wa biashara ya dagaa kwa mda.

Hivyo kwa Sasa nimeanzisha biashara ya uuzaji wa dagaaa chafu na Uduvii specific kwa matumizi na malighafi ya kutengeneza chakula cha mifugo hivyo kwa anaehitajii karibunii sana sehemu yyte tunatuma
Kwa mawasiliano
0744714226
 
Napokea order ya dagaa chafu na Uduvii kwa ajili ya chakula cha kuku nipo Mwanza(Mkuyunii) na Nina Office Kahama -Shinyanga
Kwa anaehitajii kiasii chochote karbu pia tunatuma mzgo sehemu yyte ile ndani ya Tanzania

Kwa mawasiliano, naptikana: 0744714226
 
Hv wabongo tunafeli wapi weka bei kwa kg au gunia watu wanyooke agggh ntajuaje unauza kg laki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom