Kivipi? Toa hoja kimantikiBiashara kichaa hiyo. Achana nayo
Tayari nimeshatoa hoja.Kivipi? Toa hoja kimantiki
Kama una mtaji kwa dar au dodoma fanya hii....Mimi naomba kuuliza business ya garden park inalipa...yani natafuta eneo naweka garden watu waje kula, kukaa, kupiga picha mfano ni kama pale mtaa wa magari 7, mbezi mwisho
Hii inalipa na ndo watu kama wamesanuka... nina marafiki wawili wamefungua hizo na tayari harusi kadhaa zimefanyikia hapo.Mimi naomba kuuliza business ya garden park inalipa...yani natafuta eneo naweka garden watu waje kula, kukaa, kupiga picha mfano ni kama pale mtaa wa magari 7, mbezi mwisho
Ziko nyingi kuliko mahitaji. Uwekezaji wake ni mkubwa ila returns on investment itachukua muda kuziona. Kumbuka MUDA NI PESA. Hiyo ni biashara nzuri kwa wastaafu.Mkuu Oct Tunatiki, toa maelezo kidogo kwa faida ya wengi
Hii poa, hata garden ya watoto tu zile bembea nayo si habaMimi naomba kuuliza business ya garden park inalipa...yani natafuta eneo naweka garden watu waje kula, kukaa, kupiga picha mfano ni kama pale mtaa wa magari 7, mbezi mwisho
Naunga mkono hoja...Kama una mtaji kwa dar au dodoma fanya hii....
Ni kweli kabisa akitulia mishe inalipa sanaHi biashara, dereva ni WA Muhimu kuliko mtaji, Kuna biashara ambazo hakikisha una rasilimali watu kabla ya chochote
Pia Kama upo Dar, gari yenye picha hapo chini ni Marketable sana kwa Dar es salaam na Miko ya karibu ( ukiwa na connection )