Biashara ya chuma chakavu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya chuma chakavu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Loly, Apr 5, 2012.

 1. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Wajameni mimi ni mjasilia mali nataka nianze kufanya biashara ya kununua vyuma chakavu na kwenda kuviuza kwa anaejua soko la hii biashara naomba anijuze
  tafadhali
   
 2. SHADOWANGEL

  SHADOWANGEL JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2016
  Joined: Sep 15, 2014
  Messages: 462
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Tuwasiliane sehemu ya kuviuza ipo
   
 3. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2016
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Tuwasiliane kwenye pm
   
 4. bintishomvi

  bintishomvi JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2016
  Joined: Mar 21, 2015
  Messages: 871
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 180
  Wekeni mambo hadhalani nasi tujue masoko kilamtu tuonane pm au nyinyi madalali nakukumbusha mtoa posti biashara hii ina madalali wengi nakushahuri nenda tazara njia ya kwenda kioo lmt ulizia kamal kiwanda cha chuma kipo karibu na vibanda vya wauzaji wa vifaa vya ujenzi ila kiwamda kingine kipo barabara ya pili kutoka hapo kamal barabara ya mbozi rodi mwanzo mwanzo wakati unatoke sokota unaianza brbr upande wa kushoto barabara ya kwanza ukikunja kona unaenda kamal ukinyoosha bila kukunja utaona kiwanda kingine jina sijalijua utaona magari ya chuma chakavu yapo foreni kuingia ndani ,viwanda vyote vipo karibukaribu ila nje utakuta watu ukiuliza ndani sawa nivizuri zaidi ukiuliza nje ujue utadakwa na watoto WA mjini.kazi njema ila biashara hii inachangamoto nyingi kuhuuziwa bati badala ya chuma ukiwa sio mzoefu mzigo wa kwanza utapotoshwa bati atakama chuma kipo ni hayo tu .
   
Loading...