macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,473
- 61,348
Pole sana. Wa kumlamu hakuna ila ni wewe mwenyewe ujilaumu. Hivi kweli biashara ndogo kama ya chips inahitaji ushauri wa watu wengi? Na hata ukipokea ushauri, kwani ni lazima uukubali? Mimi siku zote kwenye bishara huw nasema hivi: ukiona unataka kuanziasha biashara fulani, halafu unaulizia tena watu uanze namna gani basi hiyo biashara haikufai na ukiazna utanguka. Biashara unatakiwa ufanye utafiti mwenyewe na kama ni ushauri unaulizia watu wazoefu kwenye ile biashara tu tena wasijue nia yako ni nini?wakuu
Ni miezi sita sasa imepita tangu nilipojitokeza hapa jamvini nikiwa na kiasi cha shilingi milion 1 pesa nikiwaomba mnipatie muongozi wa kufungua banda la chipsi zenye ubora wa kiwango cha juu na kukamata soko dhidi ya wapinzani wanouza chipsi locally
Aiseeeee, nilijuta na mpaka sasa najutia uamuzi wangu wa kulileta lile bandiko langu humu
Kiukwrli sikuweza kuendelea na lile wazo kwasababu wananchi wengi humu walinipinga na kunikatisha tamaa sana kwamba wazo halitekelezeki, hii ilinikatisha tamaa
Ile pesa niliamua kutulia nayo, hii ndio ilikua mistake kubwa
pesa haitulii kabisa, nilijaribu kuituliza lakini wapi mwishowe yote ikapukutika kwa sababu tu ya ushauri butu wa wajf walionikatisha tamaa
mbaya zaidi kilichosababisha nilete mrejesho humu, leo nimekatiza ile mitaa niliyokuwa naiplan kufungua ile biashara nimekuta mtu mwingine amefungua biashara ileile ya chipsi tena kama kahamisha mawazo yangu na kuyatekeleza
nimejaribu kumuuliza ni kiasi gani kainvest kasema kaweka milion 1 tu, hii imeniuma sana
Nimeamua kula chips kuku tena tamu kweli na kuishia kufyonya tu huku nikikumbuka michango ya wadau wa humu
Humu kuna watu hawapendi wengine tufanikiwe!
Humu kuna watu wanajifanya ni wataalamu wa kila kitu
Humu kuna watu kila uzi lazima wakoment
Tafadhalini sana, Jf tutoe mawazo bora na kujenga na si kukatishana tamaa kiboya tu na kuziacha pesa zipigwe na wengine
Unakuwa unatikije mkuu....hapa sijakuelewa...Next time ukishika tena 1M usiwe na wazo 1 waza mawazo tofauti hata ma 5
Kisha usiku yaandike kwenye notebook anza ku tick moja baada ya jingine
Hadi upate 1
ndugu yetu tufanye angekua na mawazo kama ma 5Unakuwa unatikije mkuu....hapa sijakuelewa...
Ulichosema kuhusu watu wa JF upo sahihi
Nikirudi kwenye wazo lako nadhani "umejifelisha mwenyewe"
si yeyote yule ila wewe binafsi maana ulikua mguu mmoja ndani mmoja nnje
Next time ukishika tena 1M usiwe na wazo 1 waza mawazo tofauti hata ma 5
Kisha usiku yaandike kwenye notebook anza ku tick moja baada ya jingine
Hadi upate 1 kisha usiangalie nyuma Nenda kafanye,Ni mara 100 ungepoteza hyo 1M
kwenye biashara ungepata experience na kitu flan ila wewe umetumbua yote ila sio mbaya
Kuna somo umelipata naamini ukishika 1M tena kuna ujinga/makosa hautoufanya.
Jf ukiitumia vizuri huwezi feli kirahisi
humu watu hutoa maoni yao kulingana na mahitaji unayohitaji
kiukweli chipsi classic huwez ipata katika sehemu ya uwekezaji wa milion 1!
wewe labda ulifeli kuwasilisha wazo
1 Tuwekee huo uzi hapa tuusome na maoni ya wadau yalikuwaje
2 Wewe ungeomba msaada tu, unamilion moja mchanganuo wa biashara ya chipsi ungepewa maelekezo ya banda na vifaa vyake muhimu kulingana na pesa yako
Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)? Ushauri wenu unahitajika. --------------------------------------------------------------------------------------------------------...www.jamiiforums.com
Zero IQ alikupa ushauri mzuri sijui ulifeli wapi bro
Hivi kupika na kukaanga ni synonymous words au, mana mumenichanganya hapa.Ndio maana kuna kuajiri vijana wajuvi wa kupika chipsi!
sijui ndio
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zero IQ alikupa ushauri mzuri sijui ulifeli wapi bro
[emoji16][emoji16][emoji16] Amebaki analia lia hapaalitoa ushauri murua sana lakini yeye alilenga kibanda cha kishkaji tu tena kwa laki 5
Mkuu unavipata wapi viasi kilasiku[emoji52][emoji52]somo kubwa sana nimejifunza
mapema Januari ninaweza pata kiasi cha pesa hakika sitarudia makosa
Mkuu unavipata wapi viasi kilasiku[emoji52][emoji52]
Pole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakuu