K kiwea New Member Joined Nov 24, 2025 Posts 2 Reaction score 7 Dec 22, 2025 #1 Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,500 Reaction score 12,842 Dec 23, 2025 #2 Omba ushauri specific. Hapa tengemea ushauri general kama wewe ulivyoomba