Ni wazo zuri, Ila mi nnavuojua wanafunzi wengi wa chuo, A-level & wananchi wengi wakawaida wanapenda kusoma na sio kununua vitabu ili wakasome! Nnadhan wazo la Library ni bora zaidi kwasababu
1. Vitabu vinakua fixed hauna haja ya kuagiza mara kwa mara.
2. Library inakua easy to be accessed na watu wote wa rika zote wenye vipato tofauti.
3. Ukumbuke kuwa vitabu tunaazimishana sana.. Na hakiishi/kuchakaa ndani ya muda mfupi hivyo ukishauza kwa mzunguko wa kwanza itabidi usubirie mwaka mzima kuweza kuzunguka tena (in a case of mobile shop). Library wanavisoma kisha wanaviacha.