Kuna sehemu barafu ni Dili balaa hii Nchi Ina Siri nyingi za biashara, sehemu ambazo Mchana Jua linapiga usipime barafu zinauzika sana wauza barafu wanapiga hela balaa
Pale Makumbusho kwa Mama Zakaria kuna kiwanda cha mabarafu. Naona yapo hadi ya kilo 50, sina uhakika kama bado kinaishi coz last time jamaa mmoja akasema boss wa pale kama anataka kufunga.
Apangilie tu logistics na kupata sehemu za kupeleka atapiga hela no question.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.