Biashara ya Bar inauzwa Tshs 3.5M

Biashara ya Bar inauzwa Tshs 3.5M

Alex Protase

Member
Joined
May 27, 2016
Posts
38
Reaction score
10
Biashara hii iko Mbezi mwisho, Kibanda cha Mkaa, iko sehemu iliyotulia na mzunguko wa watu ni mkubwa, ina kila kitu ni kuingiza vinywaji tu unaanza kazi. Bei yake ni pamoja na kodi ya miezi 5 kuanzia March, ni shs 300,000 kwa mwezi.
Kwa mawasiliano 0713895049/ 0753543236/0688186936.

IMG_20170206_121559_811.jpg
IMG_20170205_135846.jpg
IMG_20170205_135816.jpg
IMG_20170205_135648.jpg
IMG_20170205_135531.jpg
IMG_20170205_135709.jpg
 
Biashara hii iko Mbezi mwisho, Kibanda cha Mkaa, iko sehemu iliyotulia na mzunguko wa watu ni mkubwa, ina kila kitu ni kuingiza vinywaji tu unaanza kazi. Bei yake ni pamoja na kodi ya miezi 5 kuanzia March, ni shs 300,000 kwa mwezi.
Kwa mawasiliano 0713895049/ 0753543236/0688186936.

Kwa kukadiria, mapato ya mwezi yanaweza kucover kodi ya mwezi?
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Mkuu mleta uzi kuna lodge karibu?
 
Kwa nini unaiuza?
Tena sio kuuza swali muhimu ni kwanini muhusika anaiachia?

Maana anasema hiyo bei ni pamoja na kodi ya miezi mitano kuanzia march.

1) Je, inauzwa bar au vitu vilivyomo ndani ya bar?

2) Je, baada ya miezi mitano kupita atakayenunua ataendelea kulipa kodi?
 
Tangazo linasema biashara ya bar inauzwa sio bar inauzwa, kuhusu kuiacha wakati kodi haijaisha sababu ziko nyingi Mkuu, kuna kubanwa na majuku mengine ukashindwa usimamizi, kuna uhamisho, kuishiwa uwezo wa kupambana na washindani.nk mojawapo kati ya hizo imenikuta Mimi.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
hapo ukiweka screen 2 za 40+ na mziki biashara inakuwa bambam.
 
Da mwili unanisisimka, sehemu inaonekana nzuri mpaka unajiuliza kwa nini huyu jamaa amemua kuiuza?
 
Hiyo sehemu huwa safi sana sema nafikiri pana tatizo la Wateja ...napaelewa sana
 
Back
Top Bottom