ashishi vidyat
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 206
- 281
Original short cargo shorts nguo tu za kiume aina zote nauzaUnauza nguo gani?
Serikali ndio inayotuua sisi maana mizigo inayokuja huku ni uchafu wa kutupwa kbsNimeona Kenya wana best mitumba ,wao wanapata wapi?au Tz tunaruhusu hiyo michafu mibaya kuingia
Sio pochi tu aina zote ukifungua mitaji inakufa sana yaanSisi wa mapochi huku ndiyo hatari kabisa unafungua pochii uchafu mtupu mtaji un
guo zngn zinazotoka unajiuliza hizi alikuwa anavaa nani?Daaah ili ni kweli!! Nimepita sehemu nimekuta malalamiko Kama haya. Na serikali iko bze na kampeni zao na matumbo yao na si kwa wanainchi wao.
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuu mwenyewe nauza children sports wear ni hatari tupu.Original short cargo shorts nguo tu za kiume aina zote nauza
Mkuu mwenyewe nauza children sports wear ni hatari tupu.
Ina bidi wewe kwanza umuulize uyo muuza mitumba mabalo yake anatoa nchi gani.Wachina wameua kbs biashara ya mitumba Tanzania
Wanafunga mitumba michafu sana na serikali haina hata haja ya kufuatilia ni bidhaa gan zinazoingia nchini kwetu leo mitumba imekuwa kazi ya kuua mitaji sbb ya balo zinazoletwa nchini mwetu
Nmejaribu kampuni kadhaa za wachina lakini patumu stress juu ya stress
Kama kuna anaejua kampuni inayofunga vizuri tupeane maujanja
Iyo ndo atali lazma ukute PC 40 hazina zipu vichwa vimekufaMkuu mwenyewe nauza children sports wear ni hatari tupu.
Sera ? Wao walipiga marufu low grades, at one time walikataa kabisa mitumba.Nimeona Kenya wana best mitumba ,wao wanapata wapi?au Tz tunaruhusu hiyo michafu mibaya kuingia
Hapa nmekuelewa Kuna godown moja wanauza original short namba moja lak 5 sasa namba moja iyo ukifungua nguo nzuri inatoka moja inatoka tena moja hadi unajiuliza hawa wanafunga vp nguoIna bidi wewe kwanza umuulize uyo muuza mitumba mabalo yake anatoa nchi gani.
Maana mitumba uwa ni nguo used na kama ilivyo kwenye hii tasnia . Uko nje iwa kuna kampuni zinakusanya nguo kisha zina grade kwenye makundi ma 3 kwa kuangalia zle nguo nzuri ambazo zpo kama mpya hazijavaliwa sana kuziita grade 1, zile zilizo valiwa ila hazijachoka sana kama grade 2 na zilizo choka sana au matambara na zile zilizo na kasoro Doti, hazina zipu zu kuchanika kama grade 3
Kila kampuni ina siri yao jinsi wanavyopanga izi nguo kwenye mabaro. Ambayo ata muuzaji mabaro tanzania au karume haijui bali yeye anatumia uzoefu maana kasha fungua mabalo mengi ana idea ya mzogo
Unakuta mfano balo la magauni. Supplier au kampuni wanaamua kuchukua nguo za grade 1 200 wanachanganya na grade 3 100 iliwapate balo lenye nguo 500 (kama tulivyoona apo juu)
Kampuni nyingine inachukua nguo grade 1 100 ina changanya na grade 2 100 na grade 3 100 . Hii siri ni ya kampuni
Cha kuzingatia ni kujua baro limetoka nchi gani na jina la kampuni ilihusika kufu nga hizo nguo
Kwa bongo tuna mabalo ya china, uturuki na dubai kwa wingi. Leo ukifungua china kesho angalia na uturuki wana nguo zipi
Ila MABALO YA CHINA UWA WANANGUO SIZE NDOGO KUTOKANA NA MAUMBILE YAO NA UWA HAWAVAI SANA NGUO ZA DESINDER AU BRAND KAMA GUCCI LV KUTOKANA NA UTAMADUNI WAO WA KUPENDA VYA NYUMBANI
Soma uo uzi niliandika kw urefu
Magufuli alitaka kuja na sera ya kuzuia mitumba michafu watu wakamuelewa vbaySera ? Wao walipiga marufu low grades, at one time walikataa kabisa mitumba.
Sheria zao zinawasaidia, bongo changanyikeni
Bidhaa nyingi 70% TZ ni substandard hovyo kabisaWachina wameua kbs biashara ya mitumba Tanzania
Wanafunga mitumba michafu sana na serikali haina hata haja ya kufuatilia ni bidhaa gan zinazoingia nchini kwetu leo mitumba imekuwa kazi ya kuua mitaji sbb ya balo zinazoletwa nchini mwetu
Nmejaribu kampuni kadhaa za wachina lakini patumu stress juu ya stress
Kama kuna anaejua kampuni inayofunga vizuri tupeane maujanja
Hatari kbsBidhaa nyingi 70% TZ ni substandard hovyo kabisa