Na msimamizi muaminifu haswa kwa kuwa mdau yuko mbali. Kuna jamaa yangu alifungua bar Dar ila shughuli zake nyingi zilikua Dodoma. Location ilikua ni perfect, ila sasa meneja aliemuweka alichokua anafanya ni kununua mzigo wake wa vinywaji ambao ndo anauuza kwa wingi, jamaa hadi kuja kugundua alikua kashaingia hasara ya kutosha.