MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 20,646 Reaction score 42,667 Jan 7, 2016 #1 Tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu wowote wa kuuza aluminium ikiwa pamoja na uzalishaji wa bidhaa zake kama madirisha, milango, meza, viti nk. Anishauri ili nijitupie humo kwenye hii mambo. Niko Dar es Salaam
Tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu wowote wa kuuza aluminium ikiwa pamoja na uzalishaji wa bidhaa zake kama madirisha, milango, meza, viti nk. Anishauri ili nijitupie humo kwenye hii mambo. Niko Dar es Salaam