Biashara Vituo Vya mafuta

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
- Biashara ya vituo vya Mafuta (petroli) inaonekana kukimbiliwa na wafanyabishara na wengine kama Mansoor Mwanza wanaanzisha vituo mahali ambapo hakuna - dalili za wateja - Pale Sabasaba Mwanza.

- Hivi kuna nini katika hii biashara na hasa wengi wanaofanya biashara hii utaona kuwa ni wanasiasa pia. Kuna nini kimejificha humo?

- Lakini pia nasikia upunjaji vipimo ni mkubwa - wakati maafisa kutoka idara ya vipimo ndiyo wanaoshughulika kufunga lakiri - seal - lakini bado watu wanapunjwa, je hakunma njia ya kisasa ya kudhibiti upunjaji kama huu?

- Mwenye Nondo atushushie.
 
Back
Top Bottom