Biashara nzuri hii hapa!!!!!!

Biashara nzuri hii hapa!!!!!!

mwelulila

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
109
Reaction score
4
HP Compaq dc7900 Core 2 Duo E8400 3.0GHz
4GB 80GB DVD Desktop PC imetumika miez miwili inauzwa,kama unahitaji n PM no zako ntakutafuta!!!!!!!!
 

Attachments

  • 44016_g1.jpg
    44016_g1.jpg
    5.3 KB · Views: 175
hapana ila zililetwa kwa ajili ya bank ndio na mm nkaagiza humo humo!!!wakaniletea mbili kwa 700000
 
We kama unaona unaweza kuibeba we nambie tu mimi niko iringa!!!!!!!!
 
samahani...monitor ina ukubwa gani? au unauza cpu tu

hapana mkuu n CPU peke yake ila ukitaka na flat zipo mitaani kibao!!100000 had 150000 zlletwa mbili ila m nimebaki nayo moja na moja ndo hii nauza!!!!! bei tunaongea we n pm tu!!!!
 
Back
Top Bottom