Biashara nzuri Dodoma

Biashara nzuri Dodoma

lucas more

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
108
Reaction score
27
Habari Great thinkers

Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc)
Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake

Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane.
Asanteni
 
Subiri wataalamu wa hayo mambo waje
 
Nadhani ungeenda halafu ukafahamu namna ya kuanza kwa uwezo wako binafsi.

Hapa utapewa hig hopes au statements za kukucritisize..... Mwishowe ukaahirisha na biashara yenyewe....
 
Back
Top Bottom