Dalili za Mirembe hizi sasa
Binti kiziwi Picture yako mbona ipo Kama Mpini vile au macho yangu,maana naona kichwa na kiwiliwiliKwikwikwiiiiiii umenichekesha!
te...e... hiki kitu ni kizuri kinaweza kuwasaidia watu kujenga mazigira ya ujasiri na kujiamini.gooood!BABA;Mtoto wangu nataka
umuoe mwanamke
nitakayemchagua mimi sawa?
.
MTOTO;Hapana
.
BABA;Ni mtoto wa Bill Gates
.
MTOTO;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA BILL GATES
.
BABA;Nataka mtoto aolewe na
mtoto wangu
.
BILL GATES;Hapana
.
BABA;Mtoto wangu ni CEO wa
benki ya dunia
.
BILL GATES;Bhasi sawa!
.
BABA ANAENDA KWA RAISI WA
BENKI YA DUNIA
.
BABA;Mchague mtoto awe CEO
wa benki ya dunia
.
RAISI;Hapana
.
BABA;Mtoto ni Mkwe wa Bill
Gates
.
RAISI;Basi sawa!
Dalili gani za Mirembe Mheshimiwa? Hili ni jukwaa la jokes ati, au hujui?Dalili za Mirembe hizi sasa
just 4fun ehee don't judge a book by its cover!
Binti kiziwi Picture yako mbona ipo Kama Mpini vile au macho yangu,maana naona kichwa na kiwiliwili
Dalili za Mirembe hizi sasa
we umetoroka Mirembe itakuwa.....hili ni jukwaa la mambo haya we vipi!!!Dalili za Mirembe hizi sasa