StevenFM Member Joined Aug 2, 2015 Posts 14 Reaction score 2 Dec 22, 2015 #1 Jamani kila ninapofikiria nianzishe mradi, juhudi zinakwama hasa katika kubuni huo mradi. Big up sana kwa walioweza huu mtihani. Naombeni na mimi mnipe techniquesm
Jamani kila ninapofikiria nianzishe mradi, juhudi zinakwama hasa katika kubuni huo mradi. Big up sana kwa walioweza huu mtihani. Naombeni na mimi mnipe techniquesm
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,478 Reaction score 11,481 Dec 22, 2015 #2 Jilipue tu kama hela ya mtaji hujakopa