Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,020
- 9,177
Si mlisema ACT Imekufa? Tulieni sasa dawa iwaingie.
siasa ni manufacturing na sio trading
kuwa na bidhaa iliyobora NI LAZIMA UWE NA INPUTS BORA (kuwa na chama kitakachokuja kuwa bora ni lazma uwe na wato bora na sio bora watu i.e mtu kama KITILIA, MWIGAMBA, ZZK are not high quality inputs to be transformed kuwa BIDHAA BORA)
SIASA ni manufacturing kwa maana una wahitaji LISSU, MNYIKA kama best quality INPUTS ili zije kuwa transformed kuwa bidhaa bora of all times.
BAADA YA WIKI TATU HAMNA KITU kama A.C.T kwenye media