Watendaji'
jana post yetu ya opportunity za biashara Botswana inakwenda vizuri
naomba kujua kama kuna mtu anahitaji matairi yaliyotumika kutoka Botswana size zote
Watendaji'
jana post yetu ya opportunity za biashara Botswana inakwenda vizuri
naomba kujua kama kuna mtu anahitaji matairi yaliyotumika kutoka Botswana size zote
Hii nchi sasa tunaelekea Kubaya kabisa, Yaani tunaagiza vitu used hadi kutoka nchi za Africa,nilikuwa najua Used ni kutoka Ulaya na Asia tena Japan sasa naona hadi nchi ambazo kiuchumi ni kama tuko levo moja,