Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 333
- 671
Wakuu kwema? Naona watu wengi Sana tumejaa mijini nakufanyia biashara palipo na senta, lakin Kuna mazingira ya kishua tumeyatenga mfano Kuna sehem nimepita naona hakuna huduma ya duka karibu na Kuna frem ya biashara mpya nikavutiwa kufanyia pale biadhara. Mm binafsi nimewaza kufanya biashara ya mahitaji ya nyumban, hivyo naomba na wewe mdau unipe mawazo ni biashara gani unaweza ifanya mazingira ya kishua?